Eti msiite kwa Mchina...! Dah

Nadhani Yupo sahihi,Japo saiz ndo amechochea kuendelea kuitwa Kwa mchina,maana akili za waTz hazijataulia
 
Czan km inaathir kitu hata yeye wazir anajina lake huko mitaan na pamoja na uwazir wake kunawatu akikutana nao wanamuita hawa ndio wale wanaosema kuwa ukitaka kuowa mpk uje na cheti chakuzaliwa yaan ilimradi tu mt aonekane ameongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom