Eti msichana akifanya hivi ukiwa nae inaashiria nini?

Alietukana yuko sahihi kiasi fulani, aina ya maada naona imekaa ki form one kabisa..
Acheni ubaguzi. Mwenyezi Mungu aliyeumba watu wa rika lote wakae pamoja hakukosea... Kama yeye ahahitaji kuelewashwa juu ya hiyo tabia aliyoinotice, ni kiasi tu cha kumuelekeza. Kama unaona hujavutiwa na mada na huna mchango wa maana si unapita tu kimya kimya? Kwani lazima upanue bakuli lako kama msema chochote?
 
  • Thanks
Reactions: cmp
humaanisha hivi

Friends

Written with a pen, sealed with a kiss,
If you are my friend, please answer me this:
Are we friends, or are we not?
You told me once, but I forgot.
So tell me now, and tell me true,
So I can say I'm here for you.
Of all the friends I've ever met,
You're the one I won't forget.
And if I die before you do,
I'll go to Heaven and wait for you,
I'll give the angels back their wing
And risk the loss of everything.
There isn't a thing I wouldn't do,
To have a friend just like you!
Hi
 
Habari zenu wana Jf
How bout Sunday I hope imeenda poa kwako kwangu iko bien.

Mara nyingi nikiwa nimekaa na kina kina Dada iwe kwenye gari,kanisani,sherehe, nk. Huwa wanapenda kucheza na kucha zao Mara anang'ata kucha alafu anakuangalia kwa kuibia ukigeuka tuu kumwangalia anaangalia pembeni au chini hii inaashiria nini jamani coz sielewagi.
Aliwazalo Mjinga, ndilo linalo mtokea.

Jaribu kuanzia sasa, nenda na Nyembe ama Fingernails cutting (nail cut)

Ukiona wanaanza kutafuna KUCHA, wape kifaa/vifaa hivyo, alafu wasikilizie.

Isije kuwa PEPO mbaya anakunyemelea...!
 
Acheni ubaguzi. Mwenyezi Mungu aliyeumba watu wa rika lote wakae pamoja hakukosea... Kama yeye ahahitaji kuelewashwa juu ya hiyo tabia aliyoinotice, ni kiasi tu cha kumuelekeza. Kama unaona hujavutiwa na mada na huna mchango wa maana si unapita tu kimya kimya? Kwani lazima upanue bakuli lako kama msema chochote?
Uko sahihi sikuwaza upande wa pili, tafunga bakuli nisiwe msema chochote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom