Eti mla poda, na mtoto wa watu ipi kwatu?

Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,249
830
Sasa kuna hii ishu ya kuwa na mtoto wa kiume halafu akawa ma poda, a.k.a Mteja, si unajua mbilinge za kulea kijana homu?

......haya...
..au ukazaa dume lako mwenyewe ukaanza kujibosti kwamba umepata dume, ...siku mbili tatu unaanza kusikia watu wanakula mzigo. We ulizaa dume lakini mwenzako kumbe alitaka kuwa demu, anaanza kuleta zile za kuleta shebendu na mambo mengine dizaini hizo, mara kakuletea dume mwenzake anamuita boifrendi. Hapa ipi ina afadhali mwanangu mwenyewe? Bora kuwa na mtoto bwabwa au mteja?

(NIME NUKUU GAZETI LA MWANANCHI MAKALA YA ZEE LA NYETI)
 
kosa ni kosa tu,kwani wote ni mzigo kwa jamii na nikinyume na maadili ya kitanzania.(TUSILEE UJINGA KWA KUSEMA BORA YUPI?)
 
mhh malezi kazi jamani,rahisi sana kama hayajakukuta kuongea hovyo ila yakishakukuta .....
 
Kudadadeki hii yA LEo kALI MwAnAnGu...! Mh bORa mLAmba MapOUDAa, ila bWABwa kAZi kWEliKWELI NomA tUPu kITaANi
 
Wote maumivu kwa mzazi na mzigo kwa jamii.
Sijui tunafanyaje, inahitaji mkono wa Mungu kumfikisha mtoto mahali salama
 
Hao wote wanastahili kutandikwa kiboko cha mpera au muanzi mpaka washike adabu, hakuna mwenye afadhali hapo.
 
Hao wote wanastahili kutandikwa kiboko cha mpera au muanzi mpaka washike adabu, hakuna mwenye afadhali hapo.

Bora ungeshauri wamwone mshauri nasaha, viboko havijawahi kurekebisha jamii iliyoporomoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom