eti mkiwa seminari hamruhusiwi kulala kifudifudi?...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
niliwahi kusikia maneno kama hii..sina uhakika kama niwaseminari au ni jamii ingine...kwa anaekumbuka aelezee...akiambatanisha sababu!...muwe na siku yenye mafanikio!..

NB: KULALA KIFUDIFUDI- KULALA TUMBO CHINI MGONGO JUU...
 
Sio kweli labda sehemu nyingine lakini sisi tulilala staili yoyote unayotaka!
 
niliwahi kusikia maneno kama hii..sina uhakika kama niwaseminari au ni jamii ingine...kwa anaekumbuka aelezee...akiambatanisha sababu!...muwe na siku yenye mafanikio!..

NB: KULALA KIFUDIFUDI- KULALA TUMBO CHINI MGONGO JUU...

habari za asubuhi bagah!
shule yetu haikuwa hivyo..
 
aah we sisi ulikuwa ukikakutwa lazima uambiwe ubadilishe style. Kisa et mtu ukilala kifufudi ulikuwa unakuwa kama unaaaaaa??????, kwa hiyo ili usifikirie hivo ilikuwa bora ulale kimgongomgongo
 
enhee!..wewe ndio unanikumbusha sasa!..
 
na nnavyo jua masjidi multaq hamrusiwii kulala kifudi fudii NT WATU WENGI WANAENDA KULALA MSIKITINI KIPINDI CHA MWEZI MTUKUFU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom