Eti mkikuta pesa kwenye suruali za waume zenu wakati wa kufua huwa mnawapa? Na kama hamuwapi ni kwanini?

Mke akikuta hela hata asiporudisha hiyo hela atailipa usiku wakati wa kulala kwa hiyo haina shida sana. Tatizo lipo kwa wale wanawake ambao hawafui nguo za waume zao bali wanawarushia tu mabeki tatu tena bila hata kukagua mifuko ya hizo nguo za waume zao. Yaani utakuta beki tatu akipewa nguo za mama au za watoto afue anakunja uso lakini akipewa nguo za baba afue halafu ukute baba mwenyewe cha pombe basi utaona tu uso wa beki unavyo funguka kwa furaha kwa maana anajua hakosi chochote kitu akikagua mifukoni.
 
Kukomesha hii tabia weka Ki- Memo kilichoandikwa juu, Nimeku-Miss, afu ndani weka bonge la kimba tena bichi! tena hatasema alichokutana nacho, na hatakaa arudie tena huo mchezo!

Atakwambia in advance Baba flni km una nguo niandalie!
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums,

Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Eti ndugu zangu wamama na wadada wa JamiiForums Tanzania;

Mkikuta pesa kwenye mashati au suruali za waume zenu wakati wa kufua huwa mnawapa? Na kama hamuwapi ni kwanini?

Ni posho ya ufuaji
 
Siku nikioa ntakuwa naacha hela makusudi ili nimpime akifanya hivyo Mara kadhaa ntamuandikia ka memo nakaacha kwenye mfuko "mke wangu haya ni maisha tu usiwe unachukua hela yangu bila kuniambia, alasivyo pepo utaisikia tu"

Hapo hata akikuta Mia atakurudishia..
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums,

Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Eti ndugu zangu wamama na wadada wa JamiiForums Tanzania;

Mkikuta pesa kwenye mashati au suruali za waume zenu wakati wa kufua huwa mnawapa? Na kama hamuwapi ni kwanini?

Thubutuuuuuu
 
Back
Top Bottom