Eti "Mi sitaki kuchezewa"

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,276
6,623
Kanishangaza sana huyu Dada wa saluni, nimemtuma
mtoto aniitie tuongee mambo mengine kabisa yeye anarudisha
jibu "Mwambie mi sitaki kuchezewa kabisaaa, kama anataka
aje nimuelekeze waliko wazazi wangu, nimechoka yaani
kila siku kuchezeana tu."

Waungwana kwani kuchezewa kunakuwaje?
Je huyo mtu akienda kwa wazazi wake ina maana
kwamba hatomchezea?

Hebu nipeni ufafanuzi wa huku kuchezea.
 
Kanishangaza sana huyu Dada wa saluni, nimemtumamtoto aniitie tuongee mambo mengine kabisa yeye anarudishajibu "Mwambie mi sitaki kuchezewa kabisaaa, kama anatakaaje nimuelekeze waliko wazazi wangu, nimechoka yaanikila siku kuchezeana tu."Waungwana kwani kuchezewa kunakuwaje?Je huyo mtu akienda kwa wazazi wake ina maana kwamba hatomchezea?Hebu nipeni ufafanuzi wa huku kuchezea.
Huyu nae karogwa.Kisha chinyitwa kiasi cha mpwechelo kulemaa, leo ndio amegundua kuwa anachezewa??Wadada wa saluni matatizo sana
 
GAZETI yawezekana wewe ni moto wa kuotea mbalia haiwezekani uumuite 2 akwambie maneno hayo inaonyesha unachezea sana hapo kwa kuingia na gia ya unabii
 
Hapo kwenye red, nafikiri ni msamiati mpya ambao unaweza
kutumika katika kukuza TAFSIDA, Instead of yale tunayoyatumia
 
GAZETI yawezekana wewe ni moto wa kuotea mbalia haiwezekani uumuite 2 akwambie maneno hayo inaonyesha unachezea sana hapo kwa kuingia na gia ya unabii
Hapana mkuu, ndio maana nimemshangaa, huu ni mwezi wa 8 sasa yaani hata
Approaching sijaifanya.
 
Na wewe kwa nini usimfuate?
Mkuu, si unajua wanavyojaa pale saluni?
Wakati mwingine unashindwa kukabiliana nao, siku moja nimewahi kwenda
saluni fulani nikakuta wamejiachia sana, yaani mapaja nje nje hivyo
sipendi sana kufika maeneo hayo kwani huwa wanajiachia sana.
 
Katika vitu ambavyo huwa vinanipa shida kuvielewa ni hili neno la kuchezewa.
"
Binadamu mwenye akili timamu anachezewaje?
"
Kwanza kuchezewa ni nini?Ni kufanya nini?
"
Kama ni kufanya mapenzi,si mnafanya wote?Kwa hiyo mnachezeana.
"
Wanawake waache kuuendeleza msemo huu!
 
My hubby wangu Eiyer, kuchezewa kunakujaje, unapomuahidi mdada kuwa utamuoa (umemu-engage so umemfunga) na ukamuomba mfanye mapenzi (yeye akiwa hajaridhia) na akakubali kwa kuwa utamuoa; wakati from the very beginning unajua hutamuoa na kuja kumtelekeza baadaye. Huyo dada ana haki ya kusema amechezewa.
Kosa la huyo dada ni kutosimamia imani yake, kumbuka hakuwa radhi kufanya mapenzi ni umemshawishi kwa ahadi!

Lakini kwa scenario nyingine ambapo, mmepenndana na mdada na wote mmeridhia kufanya mapenzi na kwenye course ya mapenzi yenu mkaahidiana kuoana. Ukija kuacha kumuoa, au naye akibadili mtazamo mnakuwa mmepotezeana muda (kwani kutengeneza uchumba takes time), na hakuna mtu kamchezea mwenzake.

Wadada wengi huangukia kwenye kundi hilo la pili, lakini as you say wanasema wamechezewa which is very wrong IMO; na kama alivyoshauri Zion Daughter kwenye uzi wake; kama wewe uko kwenye kundi la kwanza, dont give in (sex wise) kwa expectation za kuolewa. Ila kama unataka sex (uko kwenye kundi la pili) jua kuna kuolewa au kutoolewa, l am sure kuna wadada wengi tu wanawaacha wachumba zao (mifano mingi humu JF) mbona wanaume hawalalamiki kuchezewa?

BTW mimi nimechezea wa kutosha tu labda pengine wa kuzidi! LOL
 
BTW mimi nimechezea wa kutosha tu labda pendine wa kuzidi! LOL
TEH nashukuru kwa maoni yako hope wamekuelewa, MTU AKICHEZEWA ANAPENDA MWENYEWE KUCHEZEWA
 
I agree with you!
Hapo kwenye red sijui niseme hongera ur lucky one au??!!
 
mkuu niombe radhi, mimi naishi kama nabii hapa mtaani.
unaweza ishi kama nabii ambaye hukubaliki kwenu pole yako kashtukia kamchezo kako kumbe ndio kazi yako eeee sasa uliuwa unamwitia nini dada wawatu sema hapa sasa ,eti umuulize kitu hahahahah kakustukia we ni jimbi changa halipikiki halipakuliki helooooooooo
 
I agree with you!
Hapo kwenye red sijui niseme hongera ur lucky one au??!!

Hapo kwenye red pa ignore tu, my point is kuna watu nimewaacha baada ya kuona mambo hayaendi na sijutii kuwaacha; sasa tukiassume wao wangekuwa wanawake nami wangeniweka kwenye kundi la wachezeaji wakati actually sio ila unaona ni a big mistake kuishi na mtu wa aina fulani!
 
hapo kwenye red pa ignore tu, my point is kuna watu nimewaacha baada ya kuona mambo hayaendi na sijutii kuwaacha; sasa tukiassume wao wangekuwa wanawake nami wangeniweka kwenye kundi la wachezeaji wakati actually sio ila unaona ni a big mistake kuishi na mtu wa aina fulani!
tatizo wanaume wengi wanajua wakishakukwida huna ujanja hata akikunyea mdomoni uitakaa nae tu... Hawajui maisha ni zaidi ya hiyo k aloigusa! Ni ujinga kujilazimisha kwa mwanaume ambae hafai kimaisha kisa tu amekugusa! Sex ni kitu gani hata sisimizi wameguswa
 
Hapo kwenye red pa ignore tu, my point is kuna watu nimewaacha baada ya kuona mambo hayaendi na sijutii kuwaacha; sasa tukiassume wao wangekuwa wanawake nami wangeniweka kwenye kundi la wachezeaji wakati actually sio ila unaona ni a big mistake kuishi na mtu wa aina fulani!
Ni kweli dear..bora nusu shari kuliko shari kamili..bur serious mie sipendi kuchezewa...Na hawa wanaume usiwatete sana wanapenda sana kuchezea wanawake..nina ushahidi... Tatizo na sie wanawake ni wajinga sana sometimes..
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom