Eti: "Mgomo wa madaktari - KINARA HOI" Gazeti la CCM

naskia wanayagawa bure kwa wapika maandali kiaha wanapeleka raarifa za kufoji juu ya idadi ya magezeti yakiyouzwa, ili kujipendekeza.
 
Kujipendekeza kubaya jamani. Leo nadhani mmeona kichwa cha habari gazeti la UHURU.
Nimejiuliza hivi, ili Gazeti lina mhariri mkuu? Kasoma wapi? Nani kawambia Ulimboka ni kinara wa mgomo? Ulimboka ni kiongozi wa Doctors' Assassination, anapresent wanachokubaliana madactari katika vikao rasmi. Binafsi nasikitika kuona watu wakipoteza maishasababu ya mgomo huu, lakini alichofanyiwa Dr. Uli, ni unyama unaolitia doa la damu bendera ya kijani ya CCM, ambao sikutegemea Gazeti na hasa la Chama tawala kuusherehekea. Nina wasiwasi na muandishi wa habari ile na hasa Mhariri Mkuu. JIPENDEKEZENI, najua ndo mnapopata kula, lakini mkumbuke na ka taaluma kidogo mlikosomea. Najua wengine hamkusomea mmepewa vyeo tu, lakini semina mmeenda. Jirekebisheni gazeti la UHURU.

Hapo kwenye red nadhani una maanisha Association
 
Uhuru wamefarijika kwa Ulimboka kupigwa, ila wamekuwa disapointed hajafa.
Ulimboka's assassination attempt is purely government orchestrated.
 
magamba mwisho wenu unakuja na damu ya dr ulimboka itakaa juu ya vichwa vyenu milele na milele,shame on u magamba
 
Kujipendekeza kubaya jamani. Leo nadhani mmeona kichwa cha habari gazeti la UHURU.
Nimejiuliza hivi, ili Gazeti lina mhariri mkuu? Kasoma wapi? Nani kawambia Ulimboka ni kinara wa mgomo? Ulimboka ni kiongozi wa Doctors' Assassination, anapresent wanachokubaliana madactari katika vikao rasmi. Binafsi nasikitika kuona watu wakipoteza maishasababu ya mgomo huu, lakini alichofanyiwa Dr. Uli, ni unyama unaolitia doa la damu bendera ya kijani ya CCM, ambao sikutegemea Gazeti na hasa la Chama tawala kuusherehekea. Nina wasiwasi na muandishi wa habari ile na hasa Mhariri Mkuu. JIPENDEKEZENI, najua ndo mnapopata kula, lakini mkumbuke na ka taaluma kidogo mlikosomea. Najua wengine hamkusomea mmepewa vyeo tu, lakini semina mmeenda. Jirekebisheni gazeti la UHURU.
hawa si makenge tu wanajipendekeza kwa babariz dhaifu ili awape uuku wa wilaya kwenden zenu na ugamba wenu.....VITA NI VITA SASA TUMECHOSHWA KUPELEKWA KIDIKTETA
 
Akili ndogo kuitawala akil kubwa msimlaumu atakula wapi akiandika ukwel kuhusu udhaifu wa watawala wake?
 
nugu yangu hao ni hayoo macccccm hamna mwingine, ndo wamemfanyia mshikaji unyama kama huo, ila God will do,revange late us wait, ukimfanyia mwenzio unyama one day utakurudia, kiukweli cwpendi haya maccm, nyie acheni tu coz, kuna muda utafika tu tutuachukua dola ya nchi hi, ccm tumewachoka jamannnnnnnnnnnnn loooooooooooooooooooooooooooooo
 
Easy! Easy!

Uhuru wanajua fika wanaandika nini. Maneno yao yanamaana kubwa sana katika maisha ya kila siku ya Mtanzania.

Hii style wamekopi kwa Carl Peters Divide, Confuse, Conquer and Rule

Mgomo ni wazo la mtu

Mageuzi ni wazo la mtu

Kudai haki ni wazo la mtu

CCM kupitia gazeti lake Uhuru wanathibitisha kwamba it is about Tiime Watu wote wanao fight na kuongea kwa niaba ya wengi waliowatuma they deserve the fury of government and its strong pinch in Mabwepande.

Kujipendekeza kubaya jamani. Leo nadhani mmeona kichwa cha habari gazeti la UHURU.
Nimejiuliza hivi, ili Gazeti lina mhariri mkuu? Kasoma wapi? Nani kawambia Ulimboka ni kinara wa mgomo? Ulimboka ni kiongozi wa Doctors' Assassination, anapresent wanachokubaliana madactari katika vikao rasmi. Binafsi nasikitika kuona watu wakipoteza maishasababu ya mgomo huu, lakini alichofanyiwa Dr. Uli, ni unyama unaolitia doa la damu bendera ya kijani ya CCM, ambao sikutegemea Gazeti na hasa la Chama tawala kuusherehekea. Nina wasiwasi na muandishi wa habari ile na hasa Mhariri Mkuu. JIPENDEKEZENI, najua ndo mnapopata kula, lakini mkumbuke na ka taaluma kidogo mlikosomea. Najua wengine hamkusomea mmepewa vyeo tu, lakini semina mmeenda. Jirekebisheni gazeti la UHURU.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom