Eti Meneja wa City Style Hotel naye kawa DED wa Itigi. Jamani tuweni serious kama nchi

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
==========

Update: JULAI 12, 2016
Rais Magufuli amekujibu hii hoja yako personally kwa vitendo, tupunguze umbea mnashusha credibility ya JF.

Sasa wanahabari wameambiwa wampige picha huyu manager wako wa hotel na yule aliyemteuwa yeye.

Changamoto: Sasa ni ushahidi ulio wazi kwamba Mr President anasoma mijadala ya hapa JF yeye mwenyewe na siyo kusimuliwa na wambea, basi asichoke kusoma mijadala ya hapa itamsaidia kazi sana, na mods tunaomba mada za kipuuzi zote ziwe zinakuwa trashed bila kujari itikadi.
UFAFANUZI: CV YA LUHENDE PIUS GERALD SHIJA, MKURUGENZI MPYA WA ITIGI-DODOMA

* Pius alimaliza Sekondari O' level Kilosa Sekondari ( 1990- Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalimu wa sekondari.

* Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa Mkaguzi wa shule huko Shinyanga. 2005-2007 Alikuwa akisoma diploma in education management and administration (ADEM-BAGAMOYO).

* Mwaka 2008 akaenda ARUSHA UNIVERSITY, alipomaliza akapelekwa ukaguzi kanda ya Tabora-Kigoma.

* Mwaka 2013 Alianza Masters of Education in educational planning and administration- JORDAN UNIVERSITY.

Mwaka 2015 alihamia ukaguzi kanda ya mashariki. Na aligombea ubunge jimbo la Kishapu akashindwa kura za maoni.

Zaidi:
Rais Magufuli awajibu waliosema amemteua mfanyakazi wa hoteli kuwa mkurugenzi, asema ana Masters
Soma pia: Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi
 
Kama kulikuwa na madiwani ambao hawakuweza hata kusoma viapo vyao unashangaa hilo la Hotel Manager kuwa DED? Ukilinganisha na baadhi ya wabunge ambao ni STD 7 leavers huyo ni sawa na Phd holder kwa hiyo certificate yake. Maajabu yote haya utayapata Tanzania tu kwenye serikali ya CCM.
 
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
Mkuu kama huyu ni kada mtiifu haina shida,hapa kazi tu!
 
Lengo lilikuwa ni kujenga viwanda vikubwa kama vya Toyota na baada ya evaluation inaonekana ni bora kuanza na viwanda vya saizi ya chini kama vya kukuna nazi za kupikia mboga. Hivyo badala ya kutafuta mainjinia wa PhD ni bora kuanza na wataalamu kama huyu alafu tutabadilisha gia safarini mkuu.
 
na nani bora wa kuendeleza kiwanda cha kukuna Nazi na upishi kumshinda hotel manager? Umenena mkuu. Ama kweli hapa kazi tu.
 
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
Nadhani hili la ukada litakatisha tamaa wasomi wetu wengi ambo tunatumia rundo la fedha kuwasomesha vyuoni
 
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
Mkuu una uhakika na elimu yake? Maana mimi binafsi nayafahamu majukumu ya hawa wakurugenzi wa halmashauri ni ya kiutendaji na si porojo na siasa, kama ukisemacho ni kweli hiyo nafasi hatoiweza, kuongoza hotel na halmashauri ni vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom