Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,395
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.
Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
==========
Update: JULAI 12, 2016
* Pius alimaliza Sekondari O' level Kilosa Sekondari ( 1990- Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalimu wa sekondari.
* Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa Mkaguzi wa shule huko Shinyanga. 2005-2007 Alikuwa akisoma diploma in education management and administration (ADEM-BAGAMOYO).
* Mwaka 2008 akaenda ARUSHA UNIVERSITY, alipomaliza akapelekwa ukaguzi kanda ya Tabora-Kigoma.
* Mwaka 2013 Alianza Masters of Education in educational planning and administration- JORDAN UNIVERSITY.
Mwaka 2015 alihamia ukaguzi kanda ya mashariki. Na aligombea ubunge jimbo la Kishapu akashindwa kura za maoni.
Zaidi:
Rais Magufuli awajibu waliosema amemteua mfanyakazi wa hoteli kuwa mkurugenzi, asema ana Masters
Soma pia: Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi

UFAFANUZI: CV YA LUHENDE PIUS GERALD SHIJA, MKURUGENZI MPYA WA ITIGI-DODOMARais Magufuli amekujibu hii hoja yako personally kwa vitendo, tupunguze umbea mnashusha credibility ya JF.
Sasa wanahabari wameambiwa wampige picha huyu manager wako wa hotel na yule aliyemteuwa yeye.
Changamoto: Sasa ni ushahidi ulio wazi kwamba Mr President anasoma mijadala ya hapa JF yeye mwenyewe na siyo kusimuliwa na wambea, basi asichoke kusoma mijadala ya hapa itamsaidia kazi sana, na mods tunaomba mada za kipuuzi zote ziwe zinakuwa trashed bila kujari itikadi.