Eti Meneja wa City Style Hotel naye kawa DED wa Itigi. Jamani tuweni serious kama nchi

Kuna watu wako kwenye utumishi wa umma muda mrefu na wana uzoefu na wachapa kazi. Pia ni wakuu wa idara waliokuwa wanategemea next step ni kuwa wakurugenzi, leo hii wamewekwa kando na nafasi hiyo inayohitaji elimu ya kutosha na uzoefu anapewa meneja wa Bar. Hivi huyu Magufuli yuko serious au anatengeneza watu wa kuja kumfagilia awe raisi wa kudumu
Tatizo watumishi halmashauri ni wezi...Bora waongozwe na makada wazalendo
 
DED WA KARATU shule hakuna aligombea uraisi kwa tiketi ya ccm anaitwa bwana BANDA KAMWANDE SONOKO hakuwa katika utumishi wa umma maana yake ni nini?magufuli na serikali yake hawana umakini kabisa
Huyu Banda Sonoko sio yule mwandishi wa habari mara nyingi anaalikwa star TV au Mimi ndo nachanganya majina?
 
tofautisha uenyekiti na DED bhana wewe DED ni nafas ya utendaji na si ya kisiasa so elimu kitu cha muhimu utateteaje DED kuwa certificate holder? usiwe blinded na ushabiki bhana

mzee Karume alikuwa darasa la pili na alikuwa Raisi wa Zanzibar.Raisi Jacob Zuma wa AFrika ya kusini aliishia naye darasa la pili sasa hivi raisi nchi kubwa na tajiri na darasa lake hilo la pili.Sembuse hicho cheo cha DED!!
 
Kama kulikuwa na madiwani ambao hawakuweza hata kusoma viapo vyao unashangaa hilo la Hotel Manager kuwa DED? Ukilinganisha na baadhi ya wabunge ambao ni STD 7 leavers huyo ni sawa na Phd holder kwa hiyo certificate yake.
Majukumu ya DED,utayalinganisha na ya mbunge?!!hebu tuwe serious jamani!!
 
Hapo wa kina "Mwafulani" wamekula sana Ugali na Mnafu....pale ndio ilikuwa moja ya "Cetre" ya mikakati ya kukomboa Jimbo la Ubungo la bwana Masaburi

Atakuwa kalipwa fadhila....Mimi jamaa alivyoanza kwa kumteuwa tu "Mwanae" Ukuu wa Wilaya ya Kisarawe,kengere kichwani ikaanza kulia
 
mzee Karume alikuwa darasa la pili na alikuwa Raisi wa Zanzibar.Raisi Jacob Zuma wa AFrika ya kusini aliishia naye darasa la pili sasa hivi raisi nchi kubwa na tajiri na darasa lake hilo la pili.Sembuse hicho cheo cha DED!!
Na usisahau pia kumwachisha chuo mwanao ili aje kuwa mmiliki wa Microsoft.
 
Hapo wa kina "Mwafulani" wamekula sana Ugali na Mnafu....pale ndio ilikuwa moja ya "Cetre" ya mikakati ya kukomboa Jimbo la Ubungo la bwana Masaburi

Atakuwa kalipwa fadhila....Mimi jamaa alivyoanza kwa kumteuwa tu "Mwanae" Ukuu wa Wilaya ya Kisarawe,kengere kichwani ikaanza kulia
Mkafanye kazi muache majungu.
 
Mwacheni huyui kama wakati yupo hapo hotel alienda open kuongeza elimu maisha yana mambo mengi sana unaweza ukamdharau MTU kitaani kumbe anamaisha Yake ngoja nikupe mfano mmoja kuna Dada alikuwa mfanyakazi Wa shirika Fulani sasa kuna jamaa alisoma akamalizia chuo akaunga master kurudi kitaani akuna kazi mshikaji wake Wa karibu alikuwa dereva akakaaa nyumbani mshikaji wake akamwambia njoo tutafute VI Mia Mia ukisuburia mishe zako zikae pouwa jamaa akawa anasaidiana Na konda yeye anafungua mlango konda anakusanya ela sasa Yule Dada kila siku anamuona jamaa konda siku jamaa kaenda kufanya interview akapata kapangiwa kuwa accountant Wa lile shirika mkoani jamaa siku ya kwanza kwenda kazini akakutana Na Yule Dada kumuuliza Yule Dada kwa dharau akamwambia subiri apo bosi kuja jamaa kampa barua Dada anashangaa anatambulisha Dada akajikuta anaropoka huyu si konda huyu au nimemfananisha
 
Back
Top Bottom