Eti Meneja wa City Style Hotel naye kawa DED wa Itigi. Jamani tuweni serious kama nchi

Nasha
nashangaa huu uzushi unasambaa kwa kasi sana kwa wanaomjua na,waliosoma nae wanamjua vizur huyu bwana ikiwezekana mgoogle! Alikuwa anafanya kazi kigoma na ana masters wakuu,ila nashangaa jukwaa hili now limevamiwa limekuwa na watu wanafiki,wazandiki,na tunaochangia pia tumekuwa ivo ivo...hakika hiki ni kizazi cha nyoka
Yaani nasikitika jf umechukua twist na kugeuka juikwaa la propaganda la ukawa. Mods lioneni hili
 
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
KUHESABU NA KUANDIKA SHIDA AMAMNATAKAWAVUA CHUPI NDIOMUWAPEKAZI
 
Huyu mtu hana uzoefu na serikali za mitaa.Hajawai kuwa mkuu wa Idara au kitengo ndani ya Halmashauri ni upuuzi kudebate mteule huyo.Halmashauri zote kwisha.
 
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
Magufuli amekujibu hii hoja yako personally kwa vitendo, tupunguze umbea mnashusha credibility ya JF.

Sasa wanahabari wameambiwa wampige picha huyu manager wako wa hotel na yule aliyemteuwa yeye.

Changamoto: Sasa ni ushahidi ulio wazi kwamba Mr President anasoma mijadala ya hapa JF yeye mwenyewe na siyo kusimuliwa na wambea, basi asichoke kusoma mijadala ya hapa itamsaidia kazi sana, na mods tunaomba mada za kipuuzi zote ziwe zinakuw trashed bila kujari itikadi.
 
Nakubaliana na hoja yako kabisa. Kama MODs wangesimamia vizuri hili jukwaa rais angepata mawazo ya maana sana toka kwa wananchi.
 
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
Kwanini usipigwe ban kwa habari ya uongo
 
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...

MZEE UNATAFUTWA NA POLISI... ANDAA MILLION 7 ZA FINE KU POST POST ZA UONGO
 
Magufuli amekujibu hii hoja yako personally kwa vitendo, tupunguze umbea mnashusha credibility ya JF.

Sasa wanahabari wameambiwa wampige picha huyu manager wako wa hotel na yule aliyemteuwa yeye.

Changamoto: Sasa ni ushahidi ulio wazi kwamba Mr President anasoma mijadala ya hapa JF yeye mwenyewe na siyo kusimuliwa na wambea, basi asichoke kusoma mijadala ya hapa itamsaidia kazi sana, na mods tunaomba mada za kipuuzi zote ziwe zinakuw trashed bila kujari itikadi.
Inasikitisha sana....

Kuna watu wanafanya credibility ya JF iporomoke...

Na Mods nao wanachangia hili....Haiwezekani kitu kinaonekana dhahiri ni uzushi lakini thread inafika mpaka page ya 11....

Zamani huu uzi ungekuwa umeondolewa na mleta mada/uzushi huu angeshapata haki yake....Ban
 
Mheshimiwa Rais Dr.John Pombe Magufuli kasema sio Luhende huyu aliyeteuliwa ana elimu ya Masters na kesho natumaini wandishi wa habari watatutofautishia kwa picha yenye sura zao na vyeti vyao.
 
image.jpeg
Huyu ndio Luhende mwenyewe....Ni msomi mwenye Masters!!Hatimaye leo kaonyesha Vyeti vyake mbele ya Rais
 
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
Nakususubiri uje ubandike uongo mwingine hapa. Sijui huwa mnapata faida gani hasa!!!!!!!
 
Back
Top Bottom