Eti meneja wa City Style Hotel naye kawa DED, jamani tuweni serious kama nchi

P

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Messages
1,755
Likes
3,250
Points
280
P

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2015
1,755 3,250 280
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
==========

Update: JULAI 12, 2016
Rais Magufuli amekujibu hii hoja yako personally kwa vitendo, tupunguze umbea mnashusha credibility ya JF.

Sasa wanahabari wameambiwa wampige picha huyu manager wako wa hotel na yule aliyemteuwa yeye.

Changamoto: Sasa ni ushahidi ulio wazi kwamba Mr President anasoma mijadala ya hapa JF yeye mwenyewe na siyo kusimuliwa na wambea, basi asichoke kusoma mijadala ya hapa itamsaidia kazi sana, na mods tunaomba mada za kipuuzi zote ziwe zinakuwa trashed bila kujari itikadi.

UFAFANUZI: CV YA LUHENDE PIUS GERALD SHIJA, MKURUGENZI MPYA WA ITIGI-DODOMA

* Pius alimaliza Sekondari O' level Kilosa Sekondari ( 1990- Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalimu wa sekondari.

* Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa Mkaguzi wa shule huko Shinyanga. 2005-2007 Alikuwa akisoma diploma in education management and administration (ADEM-BAGAMOYO).

* Mwaka 2008 akaenda ARUSHA UNIVERSITY, alipomaliza akapelekwa ukaguzi kanda ya Tabora-Kigoma.

* Mwaka 2013 Alianza Masters of Education in educational planning and administration- JORDAN UNIVERSITY.

Mwaka 2015 alihamia ukaguzi kanda ya mashariki. Na aligombea ubunge jimbo la Kishapu akashindwa kura za maoni.
https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-awajibu-waliosema-amemteua-mfanyakazi-wa-hoteli-kuwa-mkurugenzi-asema-ana-masters.1078811/
Zaidi: Rais Magufuli awajibu waliosema amemteua mfanyakazi wa hoteli kuwa mkurugenzi, asema ana Masters
 
Lancanshire

Lancanshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2014
Messages
14,036
Likes
8,268
Points
280
Lancanshire

Lancanshire

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2014
14,036 8,268 280
Inawezekana rais kaletewa tu jina si unaona hata press release state house wanajichanganya taarifa zinatolewa kila baada ya nusu saa . Hapa kazi tu
 
Jamalm335

Jamalm335

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Messages
2,246
Likes
3,969
Points
280
Jamalm335

Jamalm335

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2015
2,246 3,969 280
Kama kulikuwa na madiwani ambao hawakuweza hata kusoma viapo vyao unashangaa hilo la Hotel Manager kuwa DED? Ukilinganisha na baadhi ya wabunge ambao ni STD 7 leavers huyo ni sawa na Phd holder kwa hiyo certificate yake. Maajabu yote haya utayapata Tanzania tu kwenye serikali ya CCM.
 
F

Fahari

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
723
Likes
311
Points
80
F

Fahari

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
723 311 80
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
Mkuu kama huyu ni kada mtiifu haina shida,hapa kazi tu!
 
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Messages
8,152
Likes
6,554
Points
280
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2010
8,152 6,554 280
Lengo lilikuwa ni kujenga viwanda vikubwa kama vya Toyota na baada ya evaluation inaonekana ni bora kuanza na viwanda vya saizi ya chini kama vya kukuna nazi za kupikia mboga. Hivyo badala ya kutafuta mainjinia wa PhD ni bora kuanza na wataalamu kama huyu alafu tutabadilisha gia safarini mkuu.
 
mkafrend

mkafrend

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
2,182
Likes
622
Points
280
mkafrend

mkafrend

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
2,182 622 280
Muuuuuuuh! Sasa kama huyu anajua tafsiri ya nchi ya viwanda ulitaka asiteuliwe? Kila mmoja anafahamu kwamba kuwa DED siyo lazima usome vidigrii vingi ila ufahamu kusimamia rasilimali fedha na watu
 
Jamalm335

Jamalm335

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Messages
2,246
Likes
3,969
Points
280
Jamalm335

Jamalm335

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2015
2,246 3,969 280
Lengo lilikuwa ni kujenga viwanda vikubwa kama vya Toyota na baada ya evaluation inaonekana ni bora kuanza na viwanda vya saizi ya chini kama vya kukuna nazi za kupikia mboga. Hivyo badala ya kutafuta mainjinia wa PhD ni bora kuanza na wataalamu kama huyu alafu tutabadilisha gia safarini mkuu.
na nani bora wa kuendeleza kiwanda cha kukuna Nazi na upishi kumshinda hotel manager? Umenena mkuu. Ama kweli hapa kazi tu.
 
K

kISAIRO

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,799
Likes
638
Points
280
K

kISAIRO

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,799 638 280
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
Nadhani hili la ukada litakatisha tamaa wasomi wetu wengi ambo tunatumia rundo la fedha kuwasomesha vyuoni
 
Jamalm335

Jamalm335

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Messages
2,246
Likes
3,969
Points
280
Jamalm335

Jamalm335

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2015
2,246 3,969 280
Hapa kina Lizaboni hutawaona..

Naona kuna watu pale Lumumba wamejipanga kumuharibia Magu.. BTW hawa hawajaambiwa waende na vyeti??
cheti cha nini mkuu kama una uwezo wa kupayuka na kupinga kila kinachopishana na chama. That is all the qualification required.
 
Mdodos

Mdodos

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Messages
286
Likes
185
Points
60
Mdodos

Mdodos

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2015
286 185 60
Lengo lilikuwa ni kujenga viwanda vikubwa kama vya Toyota na baada ya evaluation inaonekana ni bora kuanza na viwanda vya saizi ya chini kama vya kukuna nazi za kupikia mboga. Hivyo badala ya kutafuta mainjinia wa PhD ni bora kuanza na wataalamu kama huyu alafu tutabadilisha gia safarini mkuu.
Ha ha ha ha ha ha mbavu zng
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
38,774
Likes
19,346
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
38,774 19,346 280
Luhende Pius Gerald Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, ELIMU YAKE NI CERTIFICATE YA HOTEL MANAGEMENT ~Haya nayo Ni mabadiliko.... Na kwa sasa ni manager wa Hotel ya City Style iliyoko Sinza, Mugabe.

Please washauri wa Rais tuweni seriuos. Tupunguzeni ukada. Tanzania inatuhitaji wote...
Mkuu una uhakika na elimu yake? Maana mimi binafsi nayafahamu majukumu ya hawa wakurugenzi wa halmashauri ni ya kiutendaji na si porojo na siasa, kama ukisemacho ni kweli hiyo nafasi hatoiweza, kuongoza hotel na halmashauri ni vitu viwili tofauti.
 
Forum statistics

Threads 1,235,711
Members 474,712
Posts 29,231,455