chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,118
- 22,503
Mwaka umemuendea vibaya sana Mbowe. Pole zake
ndo maana mkifa huwa tunashangalia alafu mnalalamika. kwasababu ya roho zenu mbaya.
shindaneni kwa hoja na sio Kwa visasi na dhuluma.

Rubbish tupu. Acha kutetea upuuzi, wamjua wewe mkewe?. Nyumbu akili zenu mnazijua wenyewe.Kwamba Mbowe peke yake,Bila kuwashirikisha viongozi waandamizi wenzake ndani ya chama,anatoa laki sita kuwapa makomandoo watatu walioachishwa kazi jeshini.
Pengine kila mmoja atumie laki mbili ili.
1.walipue vituo vya mafuta vya Mwanza,Arusha,Dsm,Mbeya,na kilimanjaro.
2.walipue masoko yenye mkusanyiko wa watu wengi, mfano kariakoo,soko la Mwanza na mengineyo.
Hivi kweli Mbowe huyu huyu tunaemjua ambae pale Mwanza kwenye sherehe za uhuru Mbele ya makamera na Mbele ya Magufuli aliomba maridhiano ya kitaifa anaweza kweli kupanga njama za kutaka kulipua masoko yenye watu wengi?
Kulipua vituo vya mafuta nchi mzima?
Lakini ajabu kwa kuwatumia watu watatu tu na shilingi laki sita Mbowe aliwaelekeza wakate miti iliyoinamia Barabarani ili pengine kuzuia nagari yasipite kuanzia Morogoro kwenda iringa.
Mbowe huyu huyu?
Tanzania imebadilika Sana aisee.
uje na counterbook nikufundishe siasa na jinsi wanasiasa walivyo vinyonga labda unaweza kuacha mbowe akipate alicho kitafuta, naona unabwabwaja tu hapaKwamba Mbowe peke yake,Bila kuwashirikisha viongozi waandamizi wenzake ndani ya chama,anatoa laki sita kuwapa makomandoo watatu walioachishwa kazi jeshini.
Pengine kila mmoja atumie laki mbili ili.
1.walipue vituo vya mafuta vya Mwanza,Arusha,Dsm,Mbeya,na kilimanjaro.
2.walipue masoko yenye mkusanyiko wa watu wengi, mfano kariakoo,soko la Mwanza na mengineyo.
Hivi kweli Mbowe huyu huyu tunaemjua ambae pale Mwanza kwenye sherehe za uhuru Mbele ya makamera na Mbele ya Magufuli aliomba maridhiano ya kitaifa anaweza kweli kupanga njama za kutaka kulipua masoko yenye watu wengi?
Kulipua vituo vya mafuta nchi mzima?
Lakini ajabu kwa kuwatumia watu watatu tu na shilingi laki sita Mbowe aliwaelekeza wakate miti iliyoinamia Barabarani ili pengine kuzuia nagari yasipite kuanzia Morogoro kwenda iringa.
Mbowe huyu huyu?
Tanzania imebadilika Sana aisee.
Hiyo ni kwa mujibu wa KingaiNi huyu huyu aliyetumia shangazi kaja kwenye process zake za ugaidi...
ndo maana mkifa huwa tunashangalia alafu mnalalamika. kwasababu ya roho zenu mbaya.
shindaneni kwa hoja na sio Kwa visasi na dhuluma.
Hivi mtu akilogwa na wachawi anakuaje, ningependa kujua hivyo isijekuwa tunawaonea watu hapa. Vilogo vingine huwenda HDKwamba Mbowe peke yake,Bila kuwashirikisha viongozi waandamizi wenzake ndani ya chama,anatoa laki sita kuwapa makomandoo watatu walioachishwa kazi jeshini.
Pengine kila mmoja atumie laki mbili ili.
1.walipue vituo vya mafuta vya Mwanza,Arusha,Dsm,Mbeya,na kilimanjaro.
2.walipue masoko yenye mkusanyiko wa watu wengi, mfano kariakoo,soko la Mwanza na mengineyo.
Hivi kweli Mbowe huyu huyu tunaemjua ambae pale Mwanza kwenye sherehe za uhuru Mbele ya makamera na Mbele ya Magufuli aliomba maridhiano ya kitaifa anaweza kweli kupanga njama za kutaka kulipua masoko yenye watu wengi?
Kulipua vituo vya mafuta nchi mzima?
Lakini ajabu kwa kuwatumia watu watatu tu na shilingi laki sita Mbowe aliwaelekeza wakate miti iliyoinamia Barabarani ili pengine kuzuia nagari yasipite kuanzia Morogoro kwenda iringa.
Mbowe huyu huyu?
Tanzania imebadilika Sana aisee.
Ila matendo ya Kristo hayaendani kabisa na matendo ya chama chenuKwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi.
Mungu atampigania na atamshindia.Mwaka umemuendea vibaya sana Mbowe. Pole zake
Ila matendo ya Kristo hayaendani kabisa na matendo ya chama chenu
Matendo ya watu yanatakiwa kuendana na matendo ya Kristo; na hao watu wako kwenye kila chama
wewe ni mlokole?Kwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi.
I see, well ...🤔Wa Mungu aliyetuumba kabisa
View attachment 1941141