Eti Makonda kugombea Ubunge jimbo la Ubungo!

Kitakachombeba mnyika ni chadema na hii ni kwa sababu watu wameichoka ccm ya makonda.
ukifanyika mdahalo kati ya makonda na mnyika ndio utajua nani matumla na nani myweather.

Unasema kweli au unatania??Yaani unamlinganisha Makonda na Mnyika??labda wewe sii Mtanzania.
 
Kitakachombeba mnyika ni chadema na hii ni kwa sababu watu wameichoka ccm ya makonda.
ukifanyika mdahalo kati ya makonda na mnyika ndio utajua nani matumla na nani myweather.

nimecheka almanusura kuchana mbavu ! Njaa mbaya sana .
 
Kwa wasio mfahamu Makonda ni huyo hapo chini mwenye shati jeupe akijiandaa kumpa ngumi ya uso Mzee Warioba wakati wa mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza. Ikumbukwe kuwa Makondo ni kijana mwenye umri wa miaka zaidi kidogo ya 30 na mzee Warioba ana zaidi ya 70 na anaheshimika sio TZ pekee bali sehemu mbalimbali duniani.
View attachment 215085[/Q

acha akaumbuke mwenyewe

asante kwa ushahidi mwanana mkuu .
 
Unasema kweli au unatania??Yaani unamlinganisha Makonda na Mnyika??labda wewe sii Mtanzania.
Mi mluguru wa matombo, tukiwapa mdahalo hawa watu wawili na kuweka ushabiki wenu pembeni....makonda habari nyingine.....
tatizo mnamuangalia makonda kama mwanaccm, ni'ukweli usiopingika kwamba ccm imechokwa na vichwa vingi
Vitapoteza ubunge kwa sababu ya uccm tu.
 
mi nashauri agombee ili tuongeze kura wana CDM maana ni kama Mnyika atapita bila kupingwa. Hata panya road hawatampgia makonda. Labda madereva watampigia
 
CCM kuna viongozi wachapakazi na waaminifu Ila hata cjui Makonda Ana kigezo gani kuwa kiongozi Mkubwa wa UVCCM
>hajui kutetea hoja anayoiongelea

> Ni mpiga kelele zisizo na maslahi

>Hana passion ya uongozi hata kidogo labda uongozi wa familia yake

>Mi ningemshauri atumie taaaluma yake kupata umaarufu na pesa ila sio siasa

> Hana umri mrefu kwenye siasa

NB
CCM ni chama chenye viongozi na wanachama hodari ila cjui kwann mtu kama huyu anakuwa na Say ya malaki ya waadilifu na kuwatia aibu

Mwacheni aje akiaibishe chama chake kilichojaa mafisadi. Nashangaa wanasema bado kuna viongozi wazuri ccm! Aliye safi atoke huko haraka kabla ya uchaguzi mkuu ndipo ataeleweka
 
Huyu ----- si alisema atahama Ubungo kwasababu hamtaki Mnyika? Sasa anataka kugombea Ubunge eti? Kweli nimeamini.... Aliye mwepesi kutoa ahadi ni mwepesi kusahau.

Agombee tu kwa aibu yake baadae!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Huyu mkuu wa Wilaya amejichukulia jina haraka sana kabla na baada ya kuteuliwa kwa kuwasema vikali nguli ndani ya chama cha CCM, na baada ya kuteuliwa kufanya kila jambo lake karibu na media.

mara leo ameajiri wanasheria watatu na kuwalipa 75% ya mshahara wake mmmm mkuu wa wilaya analipwa nyingi...ok but nakumbuka aliwahi kunidodosa mtaaa flani tukionja kangara na tulikuwa mimi ,yeye ,kajala, pamoja na rafiki yake mwingine aitwaye abdul mplanzi..alisema mwaka huu lazima agombee jimbo flan dar na he is sure to be minister in the coming government...ok zote porojo na nilikuwa nimelewa kidogo..

Makonda nikumbushe tena unataka kugombea jimbo gani vile! Mi rafiki yako nimepoteza simu bana...ila now niko huku nyasa
 
Back
Top Bottom