Eti magazeti ya kitanzania ni sawa na barua za kawaida!!!!!!!!

Mjanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,238
324
NIMEVUTIWA NA HABARI MOJA KATIKA GAZETI LA "TANZANIA DAIMA" LA JUMAPILI, ETI MUETHIMIWA THIPIKA WA BUNGE LA JAMHUURI YA MUUNGANO LA WADANGANYIKA na ZANZIBAR AMEDAI KUWA MAGAZETI YA KITANZANIA NI KAMA BARUA TU TENA ZA "KAWAIDA"! JE HUKU NDO KUKOMAA KI-SI-ASA au ni ULEVI WA USPIKA???? WANAHABARI MWASEMAJE KATIKA HILI?????
 
pengine lengo lake ni kutaka kubeza magazeti ya kitanzania kwa jinsi ambavyo yanajaribu kuripoti habari zinazoipunguzia CCM umaarufu miongoni mwa wananchi,..nafikiri (sinahakika)..pengine anataka watanzania kupuuza yanayoripotiwa na magazeti yetu..ila pia angetuambia "barua za Kawaida" kwake ni za aina gani???:rain:
 
Mimi naona yupo sahihi kabisa.

aandishi wetu TZ wamekosa uzalendo na wamejaa unafiki na tamaa ya kupenda pesa kwa kuandika habari za chuki na uhasama na kuigombanisha jamii kwa nia ya kuuza magazeti au habari zao na sio habari za kujenga , kuelimisha jamii.

Kikubwa tunaweza kusema wengi hawana elimu sahihi ya uandishi na walewachache walio na elimu hiyo basi wamejawa na tamaa ya fedha na kusahahu miiko ya kazi zao.
 
mhh! inawezekana yakawa ya kweli! lakini upande wa pili, mtu muhimu kabisa ambaye anawakilisha taswira ya Taifa..(BUNGE NDIYO TASWIRA YA TAIFA) ILIKUWA SAHIII KUTOA KAULI KAMA HIYO??? kwanini basi asinge waelekeza, kitu ambacho nafahamu hawezi kwa sababu hata uwezo wake wa kusimamia shughuli za Bunge unatia mashaka...ingekuaje katika kuelimisha waandishi????
 
Magazeti barua ni yale ya: TSN na New Habari Corporation! Bora udaku wa global...... (inaishaje vile?)
 
Back
Top Bottom