Eti Lowassa anajiandaa kusilimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti Lowassa anajiandaa kusilimu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kamanda, Feb 27, 2008.

 1. Kamanda

  Kamanda Senior Member

  #1
  Feb 27, 2008
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Jamani yamezungumzwa mengi na yataendelea kusambaa mengi kuhusu Lowassa, yule waziri mkuu aliyeamua kuachia ngazi baada ya kukumbwa na kashfa.
  Moja kali ambayo nimeipokea tangu asubuhi, lakini sikuweza kuipost kwa kuwa JF haikuwa hewani ni kwamba huyo jamaa anajiandaa kusilimu na kuwa Mwislam na baadaye kutubu makosa yake.
  Inasemekana anafanya hivyo baada ya kushauriwa na zaidi sana ili kuimarisha urafiki wake na Jakaya Kikwete.
  Sina uhakika na hilo, ingawa lipo linasemwa sana kwa sasa. Yaelezwa kuwa kiongozi mmoja wa Uislam anajiandaa kumpokea na kumpa mafunzo.
  Hebu tazama picha yake akiwa na kanzu na balaghashia ambayo sidhani kama imepigwa wakati huu wa habari hiyo.
   
 2. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mhhhh...

  JF imevamiwa!
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145


  Unafanya nini Kamanda ? Nami sijaelewa bandiko hili .Peleni kwenye udaku
   
 4. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #4
  Feb 27, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Sasa kama kila kitu tutakachosikia mitaani tutakileta hapa si tutachanginyikiwa? Wakati mwingine FMES alikuwa na hoja kwenye post yake!
   
 5. Bin Maryam

  Bin Maryam JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2008
  Joined: Oct 22, 2007
  Messages: 685
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Japokuwa EL ni Fisadi lakini ana haki zake za kiraia zikiwemo kuchagua dini, mke na n.k.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kamanda unakasi kweli hapa JF, nimekuona umetuma post nyingi kweli zingine zikiwa na Thrilling subheading kama Breakin news etc, ningekushauri kuwa na break...habari kama hivi hatuzihitaji JF maana zinapunguza credibidility ya JF...hujaweka hata source ya hii habari kaka!! usije kuwa unaandika ndoto za alinacha na abunuwasi ukitegemea watu tuchangie..... nyepesi nyepesi !!pole kaka ni mawazo yangu tu haya!
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Nakubaliana ndugu Mtama huyu ndugu sasa nadhani anakosa la kutueleza lakini he cam do better by watching wengine wanacho kisema si lazima uandike hapa unaweza pia kusoma na hapa heshima yako inakuwa juu .Ukiandika watu wanakuwa na moyo wa kutaka kusoma badala ya haya ya udaku .Mods ondoeni hii bwana .
   
 8. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 135
  Hii thread nayo imeachwa inapeta tu kwenye 'Jukwaa la Siasa!' Au ma moderators wapo likizo wote?
   
 9. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2008
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haiwezi Kuleta Maana Hata Kidogo Kwa Mwanaume Kubadilisha Dini Yake Ili Kumfyrahisha Mwanamme Mwenzake. Unanikumbusha Mambo Ya Uvumi Wa John Kusilimu Apate Uraisi.
  Tumaini Geofrey
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tumaini Karibu sana JF...hapa kuna watu makini angalia michango yako, naona hii ni post yako ya kwanza!!

  Mwana
   
 11. M

  Major JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2008
  Joined: Dec 20, 2007
  Messages: 1,425
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Hatuwezi Kujadili Mambo Ya Kipumbavu Ambayo Hayana Maslahi Na Jamii, Pls Msituletee Mada Kama Hizi Tena Na Iwe Mwiko!
   
 12. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  asante major, hata mimi naona ni madai yasiyokuwa na msingi! Ni uvumi wa kijinga.
   
 13. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2008
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jamani hizi redio za mbao sasa zinakamata Shortwave, Lowassa kusilimu, sijui, yangu macho tu. Lakini muheshimiwa yule ananiogopesha sana kwa hatua aliyoichukua, eti kaamua tu kuachia ngazi na kurudi nyumbani. Asije akawa ameenda kuunda militia ili aje kuleta tabu baadae. haijawahi kutokea katika historia ya siasa yetu.
  Anyway pengine ni uoga wangu tu lakini kama watu wa pwani wasemavyo....Halahala mti na jicho...Subirini comeback yake itakavyokuwa.
   
 14. Single D

  Single D JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Remove this thread!For what???????????????//
   
 15. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kamanda umbea mwingine tuachie wanaoweza, nimejitahidi kutazama hiyo kanzu na balaghashia sivioni. Ama lazima na mimi nivae hivyo ndipo niweze kuviona vya LOWA-HASA??? LOL!!!!!!!!!
   
 16. Allah's Slave

  Allah's Slave JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kweli angekuwa muislamu asingefanya aliyoyafanya. Wasilam tunaongoza kwa mema na kutafuta riziki kihalali. Wewe angalia akina mkapa, yona, lowasa, mramba na wengine ni dini gani? Alafu muone kikwete ni dini gani. Anafanya jambo sahihi inastahili apongezwe
   
 17. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Halafu pia Kighoma Malima, Ibrahim Msabaha.

  Mtumwa wa Molla huyu LOWA-HASA bado hajasilimu, ila anataka kufanya hivyo kwa lengo la kujisogeza karibu na JK kadiri nilivyomuelewa mtoa hoja wa kwanza.

  Pia ningependa kukuhakikishia kwamba wizi au ufisadi hauna dini bali ni game of chance. Ukisema Uislamu hauelekezi mtu kutenda mabaya nitakuamini kwani hakuna inayoelekeza waumini wake wake watende dhambi lakini ukitumia majina ya watu na kusema hao ni waislamu just kwa sababu ya jina, nitakupinga kwani kuna maovu mengi sana mtu mwenye jina la Ally akilitenda huja hoja ya huyu si Muislamu. Mfano halisi ni vibaka wengi jijini Dar wengi wana majina kama Mohamed, Ally, Hussein, Jafar, Bakari nk. Je vibaka wote tuseme huo ndiyo Uislamu? LA HASHA. Magaidi wote wana majina ya Mohamed, Ally, Hussein, Jafar, Bakari BILA KUMSAHAU BOSS WAO OSAMA je turudi huko tukijua UISLAM NI UGAIDI. FUTA KAULI ZAKO.
  Kwa kifupi nataka kukueleza kwamba hakuna dini inayofundisha waumini wake watende maovu, usilete udini hapa. Watu wameenda kinyume na mafundisho ya Mwenyezi Mungu na ndiyo maana pamekuwa na UGAIDI, VIBAKA, na hao wezi ndani ya serikali.
   
 18. mbarikiwa

  mbarikiwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Asante kwa Elewesho Babu Msemaovyo.
   
 19. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2008
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,427
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Itakuwa vizuri iwapo atatumia njia hiyo kujisafisha na sikujivika ngozi ya kondoo ilhali yeye ni chui!!!!!
   
 20. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2008
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kamanda mbona haueleweki? Huyu aliyekuambia habario hizi ni nani? kisha si vema kusema kwa kudhani tu, fikiri sana kabla haujasema kwani JF watashindwa kuchangia threaad zako kwa siku za usoni.
   
Loading...