kaka-blaza
Member
- Nov 7, 2019
- 84
- 124
,
Kwa muda mrefu hii imekuwa ikimsumbua klop ndio maana gainali nyingi kapigwa but sasa hivi kajua acheze VP ili aweze kushinda kikombe na nfio maana sasa hivi anashonda tu vikombeDah kumfunga leicester jana ndio unakuja na conclusion kabisa kuwa yeye n bingwa kumbuka Liverpool n klabu bora dunian kwa sasa wao hawaangalii mpira mzur kwao ushnd n kila kitu hata Jana kuna mpuuz aliitabiria kutochukua klabu bingwa dunia lakn sote tiliona nn kiltokea
Kwa sasa wachezaj wasLiverpool wanajua nn maana ya ubingwa wacheze VP ili washnde nakuhakikishia liver atabeba ndoo kabla ya mechi tatu za mwisho
#Liverpoolbabalao
Sent using Jamii Forums mobile app
anzisha za akili.Sikuhizi JF imejaa Minyuzi ya Kijinga
tuombe uzima tu, tutakutana hapa mwezi mei. hii ni decemberDah kumfunga leicester jana ndio unakuja na conclusion kabisa kuwa yeye n bingwa kumbuka Liverpool n klabu bora dunian kwa sasa wao hawaangalii mpira mzur kwao ushnd n kila kitu hata Jana kuna mpuuz aliitabiria kutochukua klabu bingwa dunia lakn sote tiliona nn kiltokea
Kwa sasa wachezaj wasLiverpool wanajua nn maana ya ubingwa wacheze VP ili washnde nakuhakikishia liver atabeba ndoo kabla ya mechi tatu za mwisho
#Liverpoolbabalao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kufikiria kuwa lecester anaweza kuwa bingwa msimu huu
Dah kumfunga leicester jana ndio unakuja na conclusion kabisa kuwa yeye n bingwa kumbuka Liverpool n klabu bora dunian kwa sasa wao hawaangalii mpira mzur kwao ushnd n kila kitu hata Jana kuna mpuuz aliitabiria kutochukua klabu bingwa dunia lakn sote tiliona nn kiltokea
Kwa sasa wachezaj wasLiverpool wanajua nn maana ya ubingwa wacheze VP ili washnde nakuhakikishia liver atabeba ndoo kabla ya mechi tatu za mwisho
#Liverpoolbabalao
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu lakini unazisoma hizo nyuzi zote na ndio maana umezijua.Sikuhizi JF imejaa Minyuzi ya Kijinga
Habari wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni makosa makubwa sana kudhani kuwa eti liverpool tayari ameshakuwa bingwa mpya wa epl msimu huu..
Kwa navyomuona PEP na man city yake naona kama ndio aenda kuimarika zaidi kuliko msimu ulipokuwa unaanza.
kinachonipa wasiwasi kuona kama liverpool anaweza kuukosa tena huu ubingwa kwa mara nyingine tena kama ilivyokuwa mwaka jana na mwaka 2014 ni namna liverpool inavyoonekana kama wao wanaenda wanachoka hivi.
Nadhani watakuwa na kipindi fulani cha mpito hapa katikati ambacho kama man city watakitumia vizuri wanaweza kupunguza gape na kubaki alama kati ya 3 hadi 7 kitu ambacho kitampanikisha liver na kumpa nguvu city ambaye anaweza kufanya aliyoyafanya 2014 baada ya akina mr liverpool kuteleza mbele ya demba ba.
Tusiongee mengi uzi huu tutaukumbuka mwezi may 2020.

Kuna mtu mlimpa jina Mungu, mnafikiri hiyo laana itawaacha salama? Labda iwe walishafanya maombi pale anfield na yale majivu yakakondolewa!otherwise mtabaki mkisema "you will never walk alone"
Nan billy shanky! Huo n mwamba mkuu na hstujawah muita Mungu labda mungu sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Rashford umenyukwa gol mbili bila, hakika timu yako ni gari la mkaaLiver huu ubingwa habebi, tukutane May
Na Man U sijui ndo inawaandama hio laana mana wanasema MAN U IS A RELIGION.Kuna mtu mlimpa jina Mungu, mnafikiri hiyo laana itawaacha salama? Labda iwe walishafanya maombi pale anfield na yale majivu yakakondolewa!otherwise mtabaki mkisema "you will never walk alone"