Eti kwanini watu wanaoa na Kuolewa..?

Wanaoana ili maisha yandelee kwa kufuata taratibu zilizowekwa za kuzaliana na kutunza watoto kwa pamoja, kusaidiana na kuishi kwa furaha na kugegedana kwa uhuru wakimtukuza Mungu wao.
 
Hao wanawake kwenu ni nguo na nyinyi kwa wanawake ni nguo kwa iyo kila mmoja ni muhim kuwa na mwenziwe. Sio kustarehe tuu hata kimaendeleo bila ya kuwepo hao maisha au harakati hazitafanikiwa
 
Gentries, kuna sababu nyingi sana za watu kuowa/kuolewa,moja wapo imani, kwa imani yangu kuowa/kuolewa ni nguzo moja wapo katika ibada, na ukiowa/kuolewa umekamilisha ibada,mungu allijua binadamu ni dhaifu sana na nilazima atatamani kufanya tendo[mapenzi], ukiwa hujaowa linaitwa udhinifu au zinaa ila ukiowa/kuolewa linaitwa tendo la ndoa,na ni zambi kumnyima mwezio..........pia katika bibilia imeandikwa sikumbuki methali ngapi '' heri ya walio wawili maana mmoja akianguka, mwingine atamnyajua, na ole wao walio peke yao maana wakianguka hakuna wa kuwanyanyua" hizi katika imani then kunaa za kibinadamu..................
 
kibinadamu...........kubwa ni kupata mweza wa kupata nae watoto[kujenga familia].
 
kuanzisha ukoo wa kizazi chenu we na mkeo hata baba yako asingeoa na kukupata we ukoo wake angeuanzishaje sasa hapi nawe unategana na wazazi sasa nawe unaanza kujenga NGOME yako ...upon hapo
 
Hivi kama lengo kuu ni kupata watoto,kuna haja gani kuoa?watoto Tatar ninao naoa ili nini sasa?
 
Adam alipoumbwa peke yake. Akawa hajielewi elewi. Alipoumbiwa Hawa.
Acha, acheze viduku.
Ni mahitaji ya kimaumbile.
 
Kwahiyo ndoa sio muhimu..?
Nimuhimu sana. Kwamaana watu wawili mke na mume wanakaa pamoja na kuujaza ulimwengu na sio kuwa kama jogoo ambao sio rational wanapanda mitetea yote anavyotaka.

Binadamu tumeumbwa kuwa Rational. Yani wenye utashi na good judgement. Tatizo kulichopo ulimwenguni ni

Irrationality of the rational
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom