-Eti kwamba kama Rais Magufuli ni jasiri au la? Ni Jasiri. Nakiri Ujasiri huu sina

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
.
Eti kwamba kama Rais Magufuli ni jasiri au la? Ni Jasiri. Nakiri Ujasiri hu sina.Muungwana hukiri asichokuwa nacho na kumkubali mwenye nacho.Kwanza ule ujasiri wa kupingana na risala ya Marehemu msibani ulikua ni uthibitisho.

-Ujasiri wa kutamka ukweli kuhusu fisadi aliyekua akiibia nchi kila milioni 7 Kila Dakika.Unaweza kupiga hesabu hadi sasa zimeokolewa shilingi ngapi.

-Ujasiri wa kuokoa mabilioni ya Hela kisha na bado fedha za waathirika wa majanga ya asili zikageuka kitega uchumi cha Serikali.

Ni Kweli Rais Magufuli ni Jasiri kwelikweli katika Kubana Matumizi kama alivyofanya hili la Fedha za Kusaidia Waathirika Wa Tetemeko la Ardhi.

-Ni Ujasiri huo Pekee Uliomuwezesha Kuamua kupeleka Taa za Kuongozea Barabarani kule Jimboni Kwake Chato wakati Miji Mikubwa kama Dodoma,Iringa ,Morogoro ikikosa. Yeye alikuwa Waziri wa Barabara

-Ni Ujasiri huo huo uliomuwezesha kufuta ahadi ya Rais Kikwete kujengea Nyumba waathirika wa Mafuriko kule Shinyanga.Si alishaupata Urais?

-Ni ujasiri huo uliomuwezesha kuwanunulia Chai ,Maandazi na Vitumbua wafanyakazi wa Mghahawa pale Uwanja wa Ndege Mwanza alipotua hapo .Alishangiliwa. Sifa ya Uwanja huu ni Kuwa Mvua zikinyesha Ndege zinakuwa kama vile zipo Bwawani Vile na Ni Uwanja Mkubwa tu ambao ndege kutoka Burundi,Rwanda,Kenya hutua.Ni connection Center ya Ndege za kwenda Mikoa ya Kanda ya Ziwa...Aliamua kuwekeza kwenye Vitumbua na vyakula pale Uwanja wa ndege na kwa ..

-Ujasiri huo ukampelekea Basi kuamua Bajeti ya Kwanza ya Serikali yake Mabilioni ya Walipa Kodi wa Tanzania yaelekezwe kujenga Uwanja Wa Ndege kule Kijijini kwake Chato hata kama Ndege zitakazotua pale Chato ni za John Pombe na Rafiki yake Raila Odinga.

Si unajua Mwakani kuna Uchaguzi Kenya na Odinga atashindwa na Uhuru Kenyatta yule aliyemtuma Lowassa aje afikishe Ujumbe Tanzania kuwa kile Kiti kule Kenya amekikalia kwelikweli? Bila Shaka Krismasi hii au Mwakani ndege ya Raila itatua kule kupata faraja na kujitafakari upya kuhusu Uchaguzi Kenya

-Ujasiri huo huo utapelekea siku moja Chato kuitwa Halmashauri ya Jiji La Chato.

Ukiwa Jasiri hakuna linaloshindikana.

-Hasa ukiwa na Ujasiri unaoweza kutenga Mabilioni ya Pesa kwa ajili ya Kukimbiza Mwenge halafu ukajifanya kutengeneza Mazingira ya kuonekana Umeokoa bilioni 2 na ukatangaza kwa Ushujaa.

-Ujasiri wa Kumsifu Jecha na kuwashambulia Binafsi wapenda Demokrasia na haki na kuwatuhumu kuwa wana roho za kishetani.

-Ujasiri wa Aina hiihiii unaweza kumfanya hata mtu mwenye Mtoto chuo kikuu ambae hana sifa akatukana watoto wa wenzie Vilaza kwa vile eti anaona wamepungukiwa sifa hata kama Mwanae ni mchovu zaidi.

-Ni ujasiri huu huu unaoweza kutangaza kuahirisha safari ili ushughulikie majanga na watu wakakuunga Mkono kisha fedha walizochanga ukazitumia kama Chanzo cha Mapato cha Serikali hii.

-Ujasiri huu ungezaa ziara za kushtukiza kwenye matetemeko sambamba na kuahirisha kwa Safari ya Muhimu Zambia na Mkutano wa Umoja wa Mataifa(Ambako Kiingereza kingepaswa kutumika kwa wingi hata kwenye Kordo maana Vifaa vya kutafsiri lugha huwa vinabaki Ukumbini)

-Ujasiri huu ukifikia hatua ya kuthubutu kuhakiki vyeti vyako kama unavyotaka wengine wafanye utakuwa ni ujasiri endelevu(Sustainable Bravery). Kuandelea tu Alipokomea kuwa Mfano katika Uhakiki wa silaha.

-Maana hata hilo la kutaja kupunguza mishahara ya Wengine nalo utalifanya liende sambamba na wewe kupunguza Mshahara wako na kuweka nyaraka hadharani kwa haraka sana ili kuwa Mfano.

-Ujasiri huu ukiambatana na kutumbua walionunua kivuko kibovu cha MV Dar Es Salaam na Pia kutumbua waliowalipa wakandarasi hewa itakua kilele cha Ujasiri .

Huu ujasiri alioufanya kuinyoosha nchi ya Chato sorry " Nchi ya Tanzania.
 
Wee mtoto bado unatudagaa twakulea,usichokoze tunyuki uto.
 
ujasiri wa mke wako kutibiwa muhimbili alafu bashite na kinana kutumwa kutibiwa ulaya ujasiri huo sina
 
Unatuchosha kusoma riwaya yako mpaka 2025 nafikiri vidole vyako vitakuwa vimechubuka kwa umbea!!
 
Back
Top Bottom