Eti 'kuoa' ni gia babkubwa inayong'oa visiki vilivyoshindikana?

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Leo nimepita mitaa fulani ya Ilala nikiwa kwenye pilikapilika za kutafuta vipuri vya magari. Nimesikia vijana wakipiga stori iliyonivutia kidogo. Actually, walikuwa wanafundishana kwamba kama binti anakuzungusha muda mrefu mwambie una mpango wa kumwoa. Eti hiyo ndiyo gia kubwa inayowalainisha mabinti wengi na hatimaye kutoa 'mlo kamili' bila malipo kwa wanaume husika. Jamani hao vijana wanaongea ukweli au ni porojo tu za vijiweni?
 
Inategemea,kama mwanamke yuko na hamu ya kuolewa ukimwambia hivyo na una vigezo atakavyo atakubali,la ajabu lipi?
 
Wewe Dumelambegu hujui thread yako inafichua siri zetu wanaume humu jamvini? Wengine tulitumia gia hiyo na kupata tulichotaka kwa raha zetu. Sasa vimwana wakigundua haka ka-trick ketu wataanza kutupiga chenga tena. Mambo mengine muwe mnayameza tu.
 
Mkuu hiyo gia sio nzuri, sasa ukichakachua wawili kwa gia hiyo huoni watakusa kabisa imani kwa wanaume... kweli unashindwa kabisa kumuimbisha demu mpaka akubali unafikia kumdanganya... Sasa siku itakapofika unataka kuoa kweli usijeshangaa ukakosa mtu!!!!
 
Aakh,wapi.ukija kwangu na gia hiyo nakuona mjinga,halafu nakuona mshamba,hujiamini.yaan nakudharau nakuona km sharobalo wa shamba,fresh from the village.mwanamke mjaja hanasi kwnye mitego ya kijinga,labda aamue yeye tu kukupa mchezo ili nawe uingie kwenye chati za kumiliki warembo.kwanza huko mbelen tunaweza tukaanza kuwaoa ninyi,sijui mtakuja na gia gani
 
Sikushauri kabisa na hii gia mkuu, hata ukipata game lakini mwisho wa siku utakuwa umejenga uadui...
 
Aakh,wapi.ukija kwangu na gia hiyo nakuona mjinga,halafu nakuona mshamba,hujiamini.yaan nakudharau nakuona km sharobalo wa shamba,fresh from the village.mwanamke mjaja hanasi kwnye mitego ya kijinga,labda aamue yeye tu kukupa mchezo ili nawe uingie kwenye chati za kumiliki warembo.kwanza huko mbelen tunaweza tukaanza kuwaoa ninyi,sijui mtakuja na gia gani
Hahaha mama yahya unaongea kama vile yaliishawahi kukuta l.o.l halafu gia ziko nyingi sio hiyo tu
 
Ni kweli tupu mkuu, siku hizi anaume wanagiaaaa, mara utasikia nataka kuzaa na wewe,nataka kukuoa ili mradi uwaon wako serious, kumbe uwongo mtupu..,
 
usi-beep kama huna mpango...

atakupandia hewani hadi ukimbie nchi, mfano ninao....
 
hii ni kweli na hii gia inawanasa sana wenye ham ya kuolewa ila kwa ambao wanapenda mahusiano ya mda kwanza kujuana ndio kuolewa wala hawanasi,ndo kwanza utashushuliwa.
yani wengine walivyokosa aibu anakwambia ukinikubalia mie wallah naenda kutoa mahali hata kesho. sasa mtu hata hakujui vizuri,hujanijua mi kicheche au mcharuko hujanijua naishije na watu khaaa wizi mtupu.
 
unajua mimi nataka kukuoa halafu nikwambie tekniki zangu

kiukwel mimi binafsi cna tabia ya kumdanganya mwanamke,ila hua najenga mazngira ya uaminifu kati yangu na yy(.mchuchu). Na kiukwel ananifuraia nami namfuraia pia,hata nitongozeje mwanamke dawa yake ni ukwel c uongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom