Eti kuna nchi ambazo hakuna mbu hapa duniani?

nchi kama Iniho,lumage,kidope,nkunga,mwakavuta na unyagongo hakuna mbu kabisa
 
South Africa kuanzia may mpaka August huwezi kumuona inzi,mbu hata panya katika miezi hiyo ya winter time na katika miezi mingine iliyobaki inakuwa kumuona mbu ni nadra sana japo wapi ila nikwauchache sana

Hakunaga malaria Kule wala UTI
Iyo ulaya nahisi ndiyo hakunaga kabisa hao viumbe
Sawa, kumbe MBU awez kuishi kwenye barid kali, iringa,njombe,mafinga,arumeru,Kilimanjaro, ni bahadhi ya maeneo ambayo hakuna MBU, kwa iyo umesimama upande gani? kwamba ni kweli kuna maeneo apa duniani hakuna MBU hususani uko ULAYA & AMERICA?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna ukweli!!
Watu tumesoma Moshi Tech mbu walikuwa wanasumbua Sana prep time
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom