eti kuna mtu yoyote katika maisha yake ambaye haja pata matatizo katika mapenzi,, ?

wahida

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
385
125
jamani ukweli ni maisha ni mapenzi, na mapenzi ni maisha,huwezi kua normal human kama hujaingia hapa. lakin kila kitu kina furaha yake na matatizo. if ww umekua always happy uko lucky sana ,, na huwezi kusoma kama huja pata mitihani katika hii dunia,
 
ndivyo mapenzi yalivyo mama, utakayempenda hakupendi, sasa nakumbuka amina wangu, kesha olewa karibu atazaa na bwana mwenyewe kizito eeeh mama eeeeh hata lakusema sina, hao ni MK GROUP wana ngulupa tupa tupa ngoma za mgorofani. Mapenzi noooma mtu mzima yanamkondesha anakuwa km kijiti.
 
mimi sjawai
cz sjawai pendwa wala sjawai penda.

nawasilisha hoja :bange:
 
Dah, hi kozi mi imenishinda hadi leo. Hata nikijaribu naona nashindwa tu. Sijui nimejeruhika mwenzenu.
 
mimi nimewahi lazima niwe mkweli mapenzi ni noma
kila mtu yanamtafuta
commando John na u seneta wake kumbe yalikuwa yanakula kwake
leo Giggs u wapi?
Diana na Rihanna
hii kitu ni noma ilimtesa sana hata chinga
Mkapa na mkwereee alipo hapo inamtesa
Mengi naye
najaribu kuonyesha jinsi ilivyo kula kwa kila mtu
salmin raisi wa zanziar aliyepita
 
jamani ukweli ni maisha ni mapenzi, na mapenzi ni maisha,huwezi kua normal human kama hujaingia hapa. lakin kila kitu kina furaha yake na matatizo. if ww umekua always happy uko lucky sana ,, na huwezi kusoma kama huja pata mitihani katika hii dunia,
Wahida unaelewa maana ya jina lako? Nafikiri hilo ni suluhisho kama hutaki maumivu.
 
Wahida umeongea kwa feelings... pole mwaya nahisi kama umepatwa karibunii....
 
Back
Top Bottom