Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 566
Nimeona na kusikia magazetini leo asubuhi nadhani gazeti
la Majira kwamba Rais Mstaafu Kikwete amesema Kingunge Ngombale Mwiru ni "wa kuja tu," kwani hajawahi kujengwa kwenye misingi ya ya CCM isipokuwa CCM ndiyo iliamua kumuamini. Alikuwa anaongea Na vijana wa CCM
Nikasoma na gazeti la Uhuru eti Lowassa analaumiwa kwa kutopendekeza mbunge wa Viti Maalum toka Monduli!? Hii Kali!
Kwa maoni yangu: Jina la Lowassa linauzia hadi Magazeti ya Lumumba! Hali ya kijani na njano mabaya.
Chanzo: Star Tv Magazeti