IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,463
- 7,385
Ndio....kimasai sio kibantu....
Na kichagga Preta...
Ndio....kimasai sio kibantu....
hapana mkuu, chagga ni bantu.
Mjomba, kama umesoma vitabu kumi kuhusu Ubantu na sio-Ubantu na umetuwekea listi reeefu la mavitabu unashindwa nini kueleza kifupi tu, sentensi mbili, hao wazungu wamesema tofauti ya Mbantu na Mmasai ni nini?Mpwa unataka kutafuniwa kila kitu bana?:yawn:
Mjomba, kama umesoma vitabu kumi kuhusu Ubantu na sio-Ubantu na umetuwekea listi reeefu la mavitabu unashindwa nini kueleza kifupi tu, sentensi mbili, hao wazungu wamesema tofauti ya Mbantu na Mmasai ni nini?
hapana mkuu, chagga ni bantu.
wamasai, wairaq, burunge, datooga, watutsi, wagalla - si wabantu bali ni wahamiti
i beg to differ,..they are not bantu speaking people.
Thibitisha
Kwa hiyo hao Wazungu wamesema tofauti ya Mmasai na Mbantu ni nini?
Hata period ya hizo migrations ni tofauti. asili ya wamasi ni nimadic na wafugaji. bantu ni sedentaries na wakulimaOrigin zao wakati wamaasai wanasemekana kutoka North Africa wabantu asili yao ni West Africa!
Kwa hiyo Wabantu wa Kimakonde na Wabantu wa Kichagga wajihi wao na lafudhi yao sawa?Tofauti ipo katika wajihi na lafudhi yao.
Afrika Magharibi?Origin zao wakati wamaasai wanasemekana kutoka North Africa wabantu asili yao ni West Africa!
Wenye lugha hiyo ndiyo wenye nguvu ya kiasili mpk leo Afrika. Na lugha yao siyo kibandu.
Kwa hiyo Wabantu wa Kimakonde na Wabantu wa Kichagga wajihi wao na lafudhi yao sawa?
Afrika Magharibi?
Inasemekana, tena sio inasemekana, tumechimbua mifupa ya Waafrika walioishi kwenye bonde la ufa la Afrika Mashariki kabla mtu hajatia mguu kwenye msitu wa Afrika Magharibi, sasa Mzungu kasema Mchagga alikuwepo Afrika Magharibi lini na alienda lini na akarudi Kilimanjaro lini, na asili yake ni alikoendea au alikorudia?

Tofauti ipo katika wajihi na lafudhi yao.
Hivi kumbe mi si m Bantu duhhhh