Eti Kikwete kwenye majanga havai suit nyeusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti Kikwete kwenye majanga havai suit nyeusi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magulumangu, Feb 18, 2011.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapo jamani mi naona ni kama jamaa anachekesha, anacheka kunako hudhuni kavaa kama anaenda kwenye sherehe kunako hudhuni...yuko serious kweli na nchi yetu huyu? Nawakilisha
   
 2. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Acha ushabiki wa kizungu ndugu, mbona hamumsemi Lipumba aliyeenda na magwanda ya chama? angeenda dr. amevaa combati la mgambo wa kikoloni mngesemaje?

  Cha muhimu hapa siyo kuvaa sura ya huzuni wakati mtu unafuraha moyoni kiachoangaliwa ni huzuni ya rohoni. Ujue hata wanaouwa ndugu au wenzao kishirikina huwa ndiyo wanaolia kuliko wote kwenye msiba. Swala la mavazi si letu ndugu ni la waliotutawala. Nchi nyingine kwenye msiba ni white, wengine kanzu na siku hizi misiba ni fasheni kama harusi watu wanavaa sare tena za bei mbaya na wengine kufanya kama uwanja wa kuonesha uwezo wa kifedha ilihali akiwa mgonjwa wala kumuulizia mgonjwa anaendeleaje hakuna.

  Cha kumuuliza JK ni kuwa anafikiria nini baada ya jambo hili kubwa utokea?
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  inasikitiha sana ...
   
 4. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapo hapo ndugu yangu, kama ni ushabiki wa KIZUNGU mbona kwenye msiba wa baba wa Taifa walivaa suit au napo ulikuwa ushabiki wa kizungu?mkuu fikiria haya yote tunafanya pamoja na wewe kukaa hapo kwenye computer ni ushabiki wa kizungu, simu ni ushabiki pia wa kizungu? Think twice mtu wangu, kikwete mnafiki hana lolote huyo, anachekacheka kwenye msiba wa taifa, je angekufa let say mtoto wake pia angeenda anachekacheka hivyo? Huna machungu maana huna ndugu huko, sisi wenye ndugu tunajua, watu wameibiwa vitu vyao na hamna compasation yoyote itayofanyika zaidi ya kuzidi kudhurumiwa, as Rais alitakiwa kuonyesha thympasy ndugu yangu, tunaona mengi yanatokea wanaonyesha yeye anachekacheka tu...
   
 5. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu kaniudhi sana mkwere
   
 6. g

  geophysics JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Janga na uvaaji havihusiani...... Siku hizi hata kwenye msiba watu wana vaa vizuri..... Kwani wewe ulitaka avae pants?
   
 7. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ninakubaliana nawe!
   
 8. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huo sio msiba wa familia moja ndugu ni wa Taifa na ichukuliwe kama kitaifa.....Mpaka CNN na BBC wameonesha so ingetakiwa ichukuliwe kama Janga la Kitaifa sio kifamilia mtu wangu...fikiria mara mbili mbili na use your brain sio your macho
   
 9. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,033
  Likes Received: 8,523
  Trophy Points: 280
  huna akili nzuri we.walaumu walokulea kuwa unafuatilia mambo ya kijinga
   
 10. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tatizo la mkwere ni kwamba anachekacheka hovyo...Hata kama ni smiling face ajitahidi kuziba hayo meno yamekuwa yakitafsiriwa vibaya sasa..!!
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mad as a box full of frogs!
   
 12. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hivi na wewe ulizaliwa au? Sijalelewa na baba ako mie, na wala sihitaji lelewa na baba ako, S my A idiot, sina akili wewe baba ako anazo? achana na wewe ambae sijui kama una chochote kwenye hilo kasha la kichwa au fuvu...
   
 13. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Siyo smilling face anachekacheka tu hata issue iko siriasi yeye anachekacheka tu kama Chakula ya watu bwana? ndo maana hata kina Makinda wanaona yuko kama wao tu, no different...
   
 14. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  With frogz au panzi kabisa ambao hawana akili? maana frogs wanaweza kuwa wa kihansi....Thanks Mchungaji....
   
 15. m

  mzambia JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Sasa we unataka avae suti nyeusi za nini?
   
 16. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0


  WANANCHI HATUKO SALAMA TENA WALA MALI ZETU, KIIO KILA LEO NA MAYATIMA KUONGEZEKA: KWA HILI SERIKALI NZIMA IJIUZULU HATA KABLA YA MAANDAMANO
  YA KUTETEA 'UHAI WA WENZETU' KUANZA KOTE NCHINI


  Mheshimiwa Kikwete kama amiri jeshi mkuu ajiuzulu pamoja na serikali yake.

  Yalianza na vifo vya raia kule (1) Pemba, baadaye (2) Unguja, Kisha (3) Mbagala, nako Arusha Mjini, (4) mauaji ya wakulima kule Mashamba ya mpunga kule Mabuki Mbeya na sasa (5) Gongolamboto.

  Ajabu ni kwamba licha ya wananchi wengi kuuaua na mali zao kuteketea, hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kuwajibika wala kuwajibishwa serikalini. Kote ni kiburi na jeuri tu mbe ya kupotea uhai wa mtu na watoto kubaki miyatima!!!

  Jukumu la msingi halijazingatiwa; kuna watu wanasinzia kwenye majukumu nyeti na sasa kutugharimu kiasi hini, wananchi hatuko salama!! Tusianze kuzungusha kiswahili hapa ni uhai umepotea kwa uzembe!!! Hawa mayatima wanahitaji sauti zetu!!

  Hatutaki tena tume kwani hata kule Mbagala chombo kama hicho hakikutusaidia zaidi ya kuwapa wanasiasa na makampuni ya kibiashara kujinadi kwenye kioo cha televisheni mgongoni mwa msiba na damu kwa wengine.

  Jukumu la kwanza la kuhitajika uwepo wa serikali katikati yetu NI KUHAKIKISHA USALAMA KILA MMOJA WETU NA MALI ZETU. Kwa mtaji hizi picha nilizoona, serikali nzima ya CCM ijiuzulu mara moja

  Mauaji Arusha walitupuuza kana kwamba kuliuaua nzi tu. Kule kwenye mashamba ya mpunga wala hawakujishughulisha kitu kuwajibika mtu. Sasa kama kweli kuna JAMBO AMBALO KIUKWELI KABISA KINATUHITAJI KUANDAMANA MPAKA KUELEWEKE NI KATIKA KUTETEA UHAI WA WENZETU.

  Kama tutaona vifo hivi kama vile ni ya 'akina wale' na kwamba sisi wengine hatuhusiki basi hapo ndipo kiama chetu kinapoanzia. Kwa vifo hivi vyote 17 taifa tumepata yatima wangapiii?????????????


  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Debris and arms were hurled across the Tanzanian of city of Dar es Salaam on Wednesday night after an accident triggered a series of explosions at Gongola Mboto military base.
  [​IMG]Tanzania's Red Cross says about 200 children who lost their parents during the confusion of the blasts are being cared for at the city's stadium.

  [​IMG]


  [​IMG]
   
Loading...