Eti Kikwete alisoma Sekondari za Kanisa?

Kwani JKT wanaenda lini hawa waliomaliza form six, Mungu aliumba Mwanamume na Mwanamke tofauti zozote ni hoja mfu
 
Kuna habari kuwa Rais Kikwete Alisoma Sekondari za Kikristo. Baba yake JK alikuwa Chief akamuombea huko? Mwenye Taarifa zaidi tafadhali aweke hapa.

Ni Viongozi gani tena waliosoma sekondari au Seminari?

Ukifahamu itakusaidia nini?Taifa haliwezi kupiga hautua namna hiyo.
 
Back
Top Bottom