Eti Kikwete alisoma Sekondari za Kanisa?

angalia kwenye red, usiseme mfumo ulikuwa wa kibaguzi, sema wakristo wazungu walipokuja africa walikuwa na akili wakajenga mashule kwa kutumia hela za sadaka toka nchini kwao. wakatoliki walipata hela vatican, walutheran na moravian walipata hela toka scandinavian countries. LAKINI WAARABU WALIPOKUJA walikuwa mbulula bure kabisa hawakujenga shule hata moja kwaajili ya waislam. zaidi ya madrasa.

ulitaka seminary zilizojengwa kwa sadaka za wala kitimoto ziwasomeshe waislam ambao hawataki shule wanataka madrasa?

ndio maana Samweli Luhanga alisoma shule za seminary. wengi walisoma huko na walifaidika na sadaka za makafiri.
Hili jibu litanifanya nilale swaaafi..
 
Kuna habari kuwa Rais Kikwete Alisoma Sekondari za Kikristo. Baba yake JK alikuwa Chief akamuombea huko? Mwenye Taarifa zaidi tafadhali aweke hapa.

Ni Viongozi gani tena waliosoma sekondari au Seminari?

Kwani Hujui Jk babake mchaga wa marangu tena chifu?
 
angalia kwenye red, usiseme mfumo ulikuwa wa kibaguzi, sema wakristo wazungu walipokuja africa walikuwa na akili wakajenga mashule kwa kutumia hela za sadaka toka nchini kwao. wakatoliki walipata hela vatican, walutheran na moravian walipata hela toka scandinavian countries. LAKINI WAARABU WALIPOKUJA walikuwa mbulula bure kabisa hawakujenga shule hata moja kwaajili ya waislam. zaidi ya madrasa.

ulitaka seminary zilizojengwa kwa sadaka za wala kitimoto ziwasomeshe waislam ambao hawataki shule wanataka madrasa?

ndio maana Samweli Luhanga alisoma shule za seminary. wengi walisoma huko na walifaidika na sadaka za makafiri.

Mfano mzuri ni ISIS. Hawa wamefuta masomo yote yasiyohusu Uislam ktk maeneo wanayotawala Iraq. Sasa unadhani watu wataendelea vipi bila elimu ya ki dunia. Kuna shida kwa BAADHI ya viongozi wa Islamic religion kudhani elimu ya dini tu inatosha
 
Waislam wengi walisoma shule za Seminar kwa sababu mfumo wa elimu wakati ule ulikua wa kibaguzi, ndo maana wengine walibadilisha mpaka majina yao ya kiislam ilhali wapate elimu

Kutaka kujua kama JK alisoma shule gani nadhani hii italeta machungu ya ubaguzi waliofanyiwa hawa waislam. Otherwise moderate debate please.
Kazi kweli kweli! Hivi Nyerere alipotaifisha shule za kanisa na kuzifanya shule za umma ili na watanzani wote wasome ulikuwa ni ubaguzi?
 
Mume alisafiri mbali kwa muda mrefu kidogo, aliporudi alimkuta mke Wake ni mjamzito, muhusika Wa ile mimba ni mnyamwezi, alikuja Kama kuli/kibatua/manamba.
Mume alishindwa kumuacha mke, na by the time muhusika alisharudi kwao, na habari zake hazikuwahi kusikika tena lakini mtoto alpozalizaliwa alilelewa zaidi na babu.
Na huo ndiyo mwisho Wa hadithi yangu hii ya 'kutunga'.
 
hata kama alisoma kwenye shule ya wakiristo lakini ameakikisha amewajaza waislamu kwenye bunge la katiba ili wautete uislamu lakini waislamu wenyewe wameshindwa kujitetea, Kikwete hapo hana makosa na ndio maana alijiondokea zake kwenda marekani unafiki wa waislamu ndio umewaangusha kwenye suala la Kadhi
 
Alijulikana kama Samwel Luhanga kwa mijibu wa mchangiaji mmoja wa kipimajoto itv mwanzoni mwa mwaka huu.
 
Yaani mtoa thread umeleta mada ya kitoto sana, kwani kuna tatizo akisoma hizo shule???
 
Kikwete amesoma sekondari Kibaha. Alikuwa anaitwa Ali Mrisho . High School amesoma Tanga. Hii nimeambiwa na mtu aliyesoma naye Tanga. By the time alipofika Chuo Kikuu alikuwa anaitwa Jakaya Kikwete. Hili labda kwa vile ilikuwa kuna vugu vugu wakati ule la watu kusema kwa nini Waafrika hawapendi uafrika wao. Wanachugua majina ya kigeni,na pengine mila za kigeni ambazo haziwafai. Ndio wakati ule Mobutu akajiita Sese Seko wa Zabanga. Lakini siku hizi naona kuna kizazi kipya ambapo watoto wanataka kufahamika kwa majina ya Kikristu au Kiislamu. Ukimuuliza mtnto jina lake anakuambia Michael John. Siyo Michael Rugemalira.
 
..ahaa! !kumbe naye alikuwa mseminari...!
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete is the fourth President of the United Republic of Tanzania born on 7th October 1950 in Msoga village,Chalinze in Bagamoyo district, Coast Region. He attended Primary and Middle School between 1958 -1965 at Msoga and St. John Bosco Lugoba respectively. He got secondary school education at Kibaha between 1966-1969 and Tanga school in 1970 -1971.

In 1975 he graduated from University of Dar es Salaam with a Bachelor of Arts degee in Economics. In 1976-77 he joined Tanzania Military Academy College Monduli and was commissioned to the rank of Lieutenant. In 1983-84 he took military leadership training at the same college where he later became chief instructor.

President Kikwete held different positions within the ruling party CCM in Singida and Tabora regions as well as Nachingwea and Masasi districts. In 1988 he was appointed Member of Parliament and Deputy Minister of Energy and Minerals. In 1990 he was elected a Member of Parliament for Chalinze constituency and was appointed Minister for Water, Energy and Minerals.Other positions held include Minister for Finance in 1994 and Minister for Foreign Affairs and International Cooperation from 1995 to 2005 when he was elected president of the United Republic of Tanzania.This section provides you with some of the speeches he delivered since he assumed office up to date.
Hii imekaa vizuri.
 
Back
Top Bottom