Eti Kikwete alisoma Sekondari za Kanisa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti Kikwete alisoma Sekondari za Kanisa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Jun 13, 2009.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,636
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Kuna habari kuwa Rais Kikwete Alisoma Sekondari za Kikristo. Baba yake JK alikuwa Chief akamuombea huko? Mwenye Taarifa zaidi tafadhali aweke hapa.

  Ni Viongozi gani tena waliosoma sekondari au Seminari?
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  JK alisoma Shule ya Secondari Kibaha na Baadaye Tanga Sec School.Pengine shule za Kikkristo aliyosoma ni ile ya Lugoba Seminari ingawaje hakuna uhakika huo.Tafadhali tazama hapa [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/jakaya_kikwete[/ame]
   
 3. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Is this also important?? Ni tofauti gani aliyonayo kikwete na wengine? We all went there for the sake of education!!
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  Mkuu hiyo link haina info za kikwete

  lakini kwenye wikipedia hiyo hiyo kuna taarifa hizi

  nina wasi wasi na usahihi wa taarifa hizi kwenye wikipedia:[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Jakaya_Mrisho_Kikwete"] Kikwete[/ame]
   
 5. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi hili ni suala muhimu sana? Hivi Tz hakuna vile vitabu vinaitwa "WHO IS WHO TANZANIA?". Pia kwa nini mtu anayetaka kujua detail juu ya shule alizosoma Rais wetu asipige simu Ikulu akamuuliza Katibu wake?
   
 6. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ikishajulikana itasaidia nini? au unataka kuwaprovoke baadhi ya watu humu jamvini.....? We haya we!
   
 7. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2009
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Ni muhimu kwa sababu 2005 ilipokuja suala la ugombea wa JK kuna viongozi wa makanisa ili kumsogeza JK na makanisa walisema kuwa alisoma shule za kikristo. Sasa kwa sababu uchaguzi mwingine unakuja ni vizuri kuanza kuchambua pumba na mchele wa 2005
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mazee wikipedia sio reliable source sometimes. Ni vizuri kufuatilia links zao za information au citation na kupima mwenyewe kama ni credible enough. Kama hayo maelezo mengi yanaonekana hayajawa linked na source yeyote, unaweza kuachana nayo maana yanakuwa yapo hewani hewani tu.
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Marais ni JKN na Mkapa shule za kanisa katoliki na Ali Hassan Mwingi au yeye hakwenda huko ?
   
 10. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mie nadhani wakishajua ni shule za aina gani alisomea zitaweza kupelekea kuona je kama yeye alifaidi hizi shule za kidini ambazo zilikuwa bure na kwa kuwa zilikuwa zimesamehewa kodi/hushuru je iweje leo wasitishe misamahaa ya kodi kwa hz tahasisi za kidini
   
 11. B

  Bull JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2009
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waislam wengi walisoma shule za Seminar kwa sababu mfumo wa elimu wakati ule ulikua wa kibaguzi, ndo maana wengine walibadilisha mpaka majina yao ya kiislam ilhali wapate elimu

  Kutaka kujua kama JK alisoma shule gani nadhani hii italeta machungu ya ubaguzi waliofanyiwa hawa waislam. Otherwise moderate debate please.
   
 12. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wakati ule shule zote zilikuwa zinamilikiwa na makanisa wakati huo so kusema alisoma huko ni kweli, lazima watu wote wajue kuwa shule hizi zilitaifishwa na serikali baadae baada ya uhuru
   
 13. kbm

  kbm JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2014
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 4,963
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ..ahaa! !kumbe naye alikuwa mseminari...!
  Dr. Jakaya Mrisho Kikwete is the fourth President of the United Republic of Tanzania born on 7th October 1950 in Msoga village,Chalinze in Bagamoyo district, Coast Region. He attended Primary and Middle School between 1958 -1965 at Msoga and St. John Bosco Lugoba respectively. He got secondary school education at Kibaha between 1966-1969 and Tanga school in 1970 -1971.

  In 1975 he graduated from University of Dar es Salaam with a Bachelor of Arts degee in Economics. In 1976-77 he joined Tanzania Military Academy College Monduli and was commissioned to the rank of Lieutenant. In 1983-84 he took military leadership training at the same college where he later became chief instructor.

  President Kikwete held different positions within the ruling party CCM in Singida and Tabora regions as well as Nachingwea and Masasi districts. In 1988 he was appointed Member of Parliament and Deputy Minister of Energy and Minerals. In 1990 he was elected a Member of Parliament for Chalinze constituency and was appointed Minister for Water, Energy and Minerals.Other positions held include Minister for Finance in 1994 and Minister for Foreign Affairs and International Cooperation from 1995 to 2005 when he was elected president of the United Republic of Tanzania.This section provides you with some of the speeches he delivered since he assumed office up to date.
   
 14. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2014
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  angalia kwenye red, usiseme mfumo ulikuwa wa kibaguzi, sema wakristo wazungu walipokuja africa walikuwa na akili wakajenga mashule kwa kutumia hela za sadaka toka nchini kwao. wakatoliki walipata hela vatican, walutheran na moravian walipata hela toka scandinavian countries. LAKINI WAARABU WALIPOKUJA walikuwa mbulula bure kabisa hawakujenga shule hata moja kwaajili ya waislam. zaidi ya madrasa.

  ulitaka seminary zilizojengwa kwa sadaka za wala kitimoto ziwasomeshe waislam ambao hawataki shule wanataka madrasa?

  ndio maana Samweli Luhanga alisoma shule za seminary. wengi walisoma huko na walifaidika na sadaka za makafiri.
   
 15. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2014
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  so what????????????
   
 16. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #16
  Sep 29, 2014
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,505
  Trophy Points: 280
  Samwel Luhanga
   
 17. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2014
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Halafu wanachoma.makanisa na kuua mapadre na.kurusha mabomu katika ibada ila wahalifu hawapatikani.
   
 18. Sir Good

  Sir Good JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2014
  Joined: Aug 19, 2013
  Messages: 1,037
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  wachokonozi sana hawa jamaa!
   
 19. Ungana

  Ungana JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2014
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shida nini sasa
   
 20. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2014
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,509
  Likes Received: 81,716
  Trophy Points: 280
  Hii inahusika vipi na urais wake? Mimi nimesoma seminary ya kibuddha lakini ni mkristo je kuna ubaya? Nachukizwa na post za udini
   
Loading...