Eti kanuna nashindwa kumuelewa

sasa huelewi nini kwamba huyo dada anakuelewa ila hakutaka kuonekana mwepesi akakataa?? kwanza acha mambo ya kutongoza ni uzamani, weekend mpigie muombe mtoke out hata beach pigeni story usiongelee mapenzi kabisa na hakikisha unamla hata mate na story yenu itaanzia hapo acha mambo yako ya nakupenda hisia sijui moyo ukikuona unatanuka silali naota achaaaaaa.
 
Unapewa kila ishara unaamua kuzira? Ulichokuwa unataka mwanzoni si ndio hicho kinachotokea sasa, inakuwa aje hukioni?
 
Mkuu according to wahuni 6: 13 -19 hadi hapo game liko upande wako,, lazima tuchukue kombe.
kwanza, Huyo Demu hajakasirika kama unavyojiaminisha.. huyo ni anatafuta validation, acceptance Carlos The Jackal alishazungumzia hili..

Pili, katika kosa utakalofanya ni kuanza kumpigia simu kila siku,, hili kosa usifanye,, narudia tena usipige simu kama anavotaka.. mchezo utahamia upande wake.

Tatu: Arrange meetings, then huko mkiwa meeting make sure umepiga hata kiss au muite majina ya wapenzi au umeshika tako na la msingi kuliko yote fanya try & error ya kula mzigo,, akileta pozi disccusion ihamie kwenye kula mzigo na sio mitongozo.

Jitahidi kuwa straight kadri ya uwezo wako.
Usimpe attention yako katika kiwango anachotaka,,, make sure always uko chini ya kiwango anachotaka.

Huu ni ushauri tu sio Sheria
Thank me later.
Umetishaa saana mkuu
 
Back
Top Bottom