Eti kama umeoa au umeolewa kuna ulazima wowote

Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
12,048
2,000
Hakuna, ila kutokana na ugumu wa maisha na kuwa na rasilimali chache za fedha ndani ya nyumba;inabidi kutaarifiana utumapo fedha,ili mkija kufirisika mjue mlishirikishana katika matumizi ya fedha.
 
Sobangeja

Sobangeja

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
279
250
Hakuna, ila kutokana na ugumu wa maisha na kuwa na rasilimali chache za fedha ndani ya nyumba;inabidi kutaarifiana utumapo fedha,ili mkija kufirisika mjue mlishirikishana katika matumizi ya fedha.
Kweli kabisa! Mambo ni mengi,yanaenda kwa kasi,ila muda ni mchache.
 
kakamkubwa

kakamkubwa

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
1,179
2,000
Ikibidi inafaa ingawa inaleta migogoro sana
 
Coolhigh

Coolhigh

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
667
500
Hakuna, ila kutokana na ugumu wa maisha na kuwa na rasilimali chache za fedha ndani ya nyumba;inabidi kutaarifiana utumapo fedha,ili mkija kufirisika mjue mlishirikishana katika matumizi ya fedha.
Kama unaona kuna ulazima kujiambia wewe mwenyewe, basi ni lazima. Ila ukiona siyo basi hata na wewe usijiambie. Nini maana ya ndoa basi?
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
28,956
2,000
Kama ni kiasi kidogo haina haja
 
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,691
2,000
Usipofanya hivyo hawa wenzetu Akili zao wanazijua wenyewe,Utashangaa wife Ana Gorofa kwao wewe huku ndio unamalizia msingi...Siwaamini hata kidogo kutokana na uzoefu wangu.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
41,373
2,000
Hakuna ulazima... ila hata ukitoa taarifa ni sawa pia...Cc: mahondaw
 
profftobe

profftobe

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
862
1,000
Hii mara nyingi inalalia sana upande mmoja. Wanawake mara nyingi ulazimisha kujua waume zao wanatumiaje fedha zao ikiwa ni pamoja na wanatuma kiasi gani kwa wazazi wao au wanatoa msaada gani kwa ndugu zao. Lakini wao wakituma upande wao wala hawaoni umuhimu sana wa kumjulisha mme hivyo ufanya hivyo kwa siri. Slogan ni ile ile ya kuwa fedha za mwanamme ni za mwanamke na za mwanamke ni za kwake binafsi.
 
Mbwa Mwitj

Mbwa Mwitj

JF-Expert Member
Mar 9, 2019
252
500
Lakini wao wakituma upande wao wala hawaoni umuhimu sana wa kumjulisha mme hivyo ufanya hivyo kwa siri. Slogan ni ile ile ya kuwa fedha za mwanamme ni za mwanamke na za mwanamke ni za kwake binafsi.
 
Unforgetable

Unforgetable

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
2,192
2,000
Ulazima upo ili kuepusha migogoro inayoweza kuepukika ndani ya ndoa
 
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
11,104
2,000
Hakuna kitu kizuri kama mtu ajiskie akwambie jambo,bila kimuuliza.
 
Top Bottom