Gavanor
Member
- Oct 15, 2011
- 60
- 3
Habari za wakati huu wakuu!!kuna msichana mmoja nimekuwa nikichat nae facebook kwa muda mrefu sasa,imetokea hvi karibuni tumepeana namba za simu,katika kuongea kwenye simu,binti anadai amevutiwa sana na saut yangu na anahitaji tuwe wapenzi.sasa wakubwa,kweli mtu anaweza tu kudata na saut na akafall in love deeply like this au ananitega tu huyu binti?