Eti kadata na sauti yangu tu

Gavanor

Member
Oct 15, 2011
60
3
Habari za wakati huu wakuu!!kuna msichana mmoja nimekuwa nikichat nae facebook kwa muda mrefu sasa,imetokea hvi karibuni tumepeana namba za simu,katika kuongea kwenye simu,binti anadai amevutiwa sana na saut yangu na anahitaji tuwe wapenzi.sasa wakubwa,kweli mtu anaweza tu kudata na saut na akafall in love deeply like this au ananitega tu huyu binti?
 
hahahahaha!!! Dah! Umenikumbusha mbali mkuu....lol... Ofcourse sauti zadatisha... kama vile waweza vutiwa na mtangazaji redioni but humfahamu... to the extent ukimuona unasema Khaa! Gavanar mwenyewe ndo huyu??? Unakua dissapointed mpaka watamani kulia.....lol
 
mwizi tu huyo, anataka kukuibia japokuwa huwa inatokea
 
Sauti! Hah nakumbuka kuna thread aliileta Afro Denzi kama sikosei ya mambo ya Sauti! Ile thread ilikuwa burudani tosha! Hebu itafute best.
 
hahahahaha!!! Dah! Umenikumbusha mbali mkuu....lol... Ofcourse sauti zadatisha... kama vile waweza vutiwa na mtangazaji redioni but humfahamu... to the extent ukimuona unasema Khaa! Gavanar mwenyewe ndo huyu??? Unakua dissapointed mpaka watamani kulia.....lol

sasa,mbaya zaidi,binti anataka kufunga safari toka mwanza aje dar kunifuata!
 
me naiona ya kawaida 2 kama ya wadada wengine.
Unaweza ukajaribu ku manage expectations kwa kumshawishi mtumiane angalau picha (kama bado hamjafanya hivyo). Ni mara chache sana binaadamu tunajaaliwa 'vitu vyote'.....unaweza ukapewa sauti 'nzuri' lakini ukanyimwa umbo, sura nk. So kama mtu amekusikia tu lakini hajawahi kukuona anaweza kuwa disappointed akikuona.....hasa kama 'amefunga safari' (amepania) kwa ajili ya kukuona.
 
inawezekana kweli maana kuna watu wana swaga za kijanja kwenye simu, na we utakuwa mmoja wapo. lol
 
Baada ya muda mfupi itakuja kudhhirika kuwa facebook ni njia ingine mpya ya kuambukizana VVU!!ingawa waanzilishi wake hawakuwa nia kama hiyo kamwe!!tunaitumia ndivyo sivyo!!
 
Habari za wakati huu wakuu!!kuna msichana mmoja nimekuwa nikichat nae facebook kwa muda mrefu sasa,imetokea hvi karibuni tumepeana namba za simu,katika kuongea kwenye simu,binti anadai amevutiwa sana na saut yangu na anahitaji tuwe wapenzi.sasa wakubwa,kweli mtu anaweza tu kudata na saut na akafall in love deeply like this au ananitega tu huyu binti?

jiulize wewe amekudatisha nini?? Ikiwa yeye kwako nisauti.usiwe kama zuzu kuambiwa hivyo basi nawe unakuba.takwimu inaonesha wanaume wengi waliotongozwa na wanawake walikubali pasipo hiari yao.mwisho utampata ambaye mnapendana na ndio mwisho wa urafiki wenu.
 
Unaweza ukajaribu ku manage expectations kwa kumshawishi mtumiane angalau picha (kama bado hamjafanya hivyo). Ni mara chache sana binaadamu tunajaaliwa 'vitu vyote'.....unaweza ukapewa sauti 'nzuri' lakini ukanyimwa umbo, sura nk. So kama mtu amekusikia tu lakini hajawahi kukuona anaweza kuwa disappointed akikuona.....hasa kama 'amefunga safari' (amepania) kwa ajili ya kukuona.

kuhusu swala la picha,tumeishatumiana na yeye,kikwel ni mdada mzuri tu kama walvo wadada wengne hasa hawa wa mjini.
 
jiulize wewe amekudatisha nini?? Ikiwa yeye kwako nisauti.usiwe kama zuzu kuambiwa hivyo basi nawe unakuba.takwimu inaonesha wanaume wengi waliotongozwa na wanawake walikubali pasipo hiari yao.mwisho utampata ambaye mnapendana na ndio mwisho wa urafiki wenu.

me nimependa kampan yake tu.
 
sa unafikir ntafanyaje na mtu nilyekutana nae fb tu,na je kama ni mgonjwa?

Acha hizo bana!!! Tusidanganyane... jamii ya fb ni kama ilokuzunguka... sabb tu katoka fb basi ndo aweza kua mgonjwa??
 
Back
Top Bottom