Eti 'JWTZ yawavutia kasi Boko haram!'

Status
Not open for further replies.

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,340
12,046
Iko kwenye gazeti, kuwa endapo wataombwa na serikali ya Nigeria wataenda kuifurumusha kama M23 kule DRC! Naona haya kama maskhara makubwa.
 
serikali isituponze bure, tena waachane nao kabisa,maana hao boko haramu ni washenzi sana,wanaua watoto wazee, wanawake,cha ajabu mashambuliz yao yanaua waislamu na wakristo na wasio na dini, ndo nini sasa,
najua kwa kihere here cha nchi yetu huenda wakawatuma wanajeshi kama alivofanya J.K nyerere kupeleka majeshi kwenye Biafra war miaka ya sabini huku akijua mgogoro ule ulikuwa wa kidini na kimaslai yao
 
Eeh eeh tafadhali sana serikali yetu endeleen kufisadi nchi lakin si kuwachokoza hao watu boko...!! na wataanza hapo hapo ktk soko la samaki magogoni... Haya lakin mi pass haijajaa na dkk 20 nimeingia mozambique.
 
Inategemea na "intel analysis" sio suala la kuombwa tu kama mtu anaenda kusimamia ndoa ya mkeka!!!!!

Jeshi letu liko idle sana labda ndo maana wanataka kupeleka ombi la 'friendly match' kwani kuvunja matofari siku ya sherehe ya muungano haitoshi
 
Tuna kiherehere kama binti anayebarehe wanaigeria wanatuhusu sisi, "nji" haina viongozi hii.

Acha waende huko. Jeshi gani hili lisilo na nidhamu. Kila uchao utasikia wamepiga raia. Wamepiga polisi Ubungo. Wamesambaratisha kituo cha polisi. Na hili la juzi wamefyeka mazao ya wanakijiji. Very unprofessional. Ushasikia wapi wanajeshi wanapiga raia badala ya kuwalinda ?????
 
Hivi unaitetea boko haram..unaona wanachofanya ni kupigana jihadi..?! au ni mauwaji..?!

Mnanywishwa ujinga na nyie mnaunywa bila kuuliza.

Nimesema kwanini wasianze na Anti Balaka wao wapo karibu, hapo nilichokitetea ni nini?
 
hao boko ni balaa, hawana ubinadamu hata kidogo, tutajichongea bureee!

yanaweza kutukumba zaidi ya yale ya westigeti.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom