Eti Jamani, hii ni aje?!

Boreless

Member
Aug 25, 2009
61
39
Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE.

"NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO"

Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli?

Mod waonaje ufukuze hawa watoto wa chekechea?! au wafungulie jukwaa lao!
 
yupi sas steve nyerere au OUR FATHER OF NATION

nini uhusiano wao na sisimizi na unyama pori?????????
 
hili swala halikuhitaji thread.ulipaswa kugonga batani ya
report.gif
then unaeleza kutoridhika kwako kwa mods wanakusaidia
 
Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE.

"NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO"

Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli?

Mod waonaje ufukuze hawa watoto wa chekechea?! au wafungulie jukwaa lao!

Please siyo Nyerere ni NYENYERE, see the difference!
 
Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE.

"NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO"

Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli?

Mod waonaje ufukuze hawa watoto wa chekechea?! au wafungulie jukwaa lao!

kichwa kimeandikwa NYENYERE si NYERERE, Nyenyere ni jamii ya wadudu! acheni analysis za chekechea
 
Agh! hilo nalo kitu cha kulia lia umezoea kulia ...uhuru ndugu...by the way what is nyerere? that dude is a big failure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom