Harbinder Sigh Seth, ndiye yeye (kimagumashi)Wana JF picha ya mtu huyu mwenye asili ya kiasia imekuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii....je ni kweli huyo ndio mmiliki wa PAP....
Wana JF picha ya mtu huyu mwenye asili ya kiasia imekuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii....je ni kweli huyo ndio mmiliki wa PAP....
Ndio huyu anawapaga polisi pikipiki
Sijui huyu mhindi anamuonyesha nini huyu baba askofu.........