Eti huyu dada Unaibu Waziri wa Fedha kapewa kwa kujuana ndio maana hawezi kujibu hata maswali ya Wabunge?

Dunia nayo ina vituko. Yaani mtu anaalala na mafaili badala ya kulala na mkewe?
Huyu mama ni kituko. Watu wa aina hii wanapataje teuzi? Na unamsikia Jiwe akidai alilala na mafaili yao kwa siku kadhaa kabla hajawateua...
 
Kwani akili ya spika ya redio wewe waionaje?
Mama mjinga sana, anajijuwa yeye kilaza sasa siangejifanya anaumwa siku ya maswali na majibu kifua kidogo wakati akiendelea kufanya mazoezi chumbani ya kusoma. Maana majibu yenyewe anasoma kishaandikiwa na kusoma hawezi. Hizi tamthilia za maswali ya hapo kwa hapo na nyongeza uwongo mtupu kama ni swali la hapohapo na nyongeza kapata muda gani wa kuandika majibu? yaani swali umeshajuwa likitoka hili litaulizwa hili majibu umeandikiwa bado ume fail mtihani. aibuuuu. Leo ndio wameumbuka na bunge hakuna kitu maswali ya hapohapo wala ya nyongeza rehearsal imeshafanywa kama drama tu. huko UK ndio watu wanapigwa swali hapohapo.
 
Nimesikia ni Mzanzibar, ndugu yake na Makamu wa Rais, Samia Suluhu

Dada hawezi kujibu maswali ya wabunge anayoulizwa papo kwa papo, hadi spika anaona aibu na kuwaruhusu mawaziri wengine wamsaidie

Naibu Waziri wa Fedha BOYA kabisa. Hebu tuwe serious kidogo, hivi Sekta nyeti kama Wizara ya Fedha inaweza kuongozwa na mtu wa aina hii kweli? Kuapa alishindwa dhahiri shahiri lakini akaachwa, leo hii tunaona matokeo ya kushindwa kuapa.
 
Kwa hiyo sio mtu wa Zanzibar? Maana Waziri akitokea bara, Naibu wake anatokea Zanzibar, ama?
Hakuna sheria inayosema hivyo kwa ngazi ya mawaziri.

Utaratibu huo unaishia kwa Rais na Makamu wa Rais tu na kwenye baadhi ya taasisi zingine kama tume ya uchaguzi n.k.

Ashantu Kijaji ni mrangi wa Kondoa,Dodoma.
 
Nimeshindwa kumsikiliza mpaka mwisho maana naona aibu Mimi.

Hivi huyu jpm na CCM yake wanatutafuta maneno nchi hii? Mbona huku ni kudharauliana? Tena mtu kama huyu wizara ya fedha? Wizara ambayo ndio engine ya uchumi na maisha yetu?
Kuna wengine ni wabovu ktk presentation ila akikaa mezani na kufanya kazi za makaratasi utabaki na butwaa
 
Nimesikia ni Mzanzibar, ndugu yake na Makamu wa Rais, Samia Suluhu

Dada hawezi kujibu maswali ya wabunge anayoulizwa papo kwa papo, hadi spika anaona aibu na kuwaruhusu mawaziri wengine wamsaidie

Shame!!! Wabunge wapiga makofi tuuuu!!! Hakuna kitu, kuna wabunge unaweza ukajiuliza walifika fika vipi bungeni, hawajui wanabebwa tu na kujib maswali wanabebwa tenaa haiiiiibbbbbbbuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom