Eti huyu dada Unaibu Waziri wa Fedha kapewa kwa kujuana ndio maana hawezi kujibu hata maswali ya Wabunge?

Nimesikia ni Mzanzibar, ndugu yake na Makamu wa Rais, Samia Suluhu

Dada hawezi kujibu maswali ya wabunge anayoulizwa papo kwa papo, hadi spika anaona aibu na kuwaruhusu mawaziri wengine wamsaidie

Ccm kupeana vyeo kwa kujuana ni jadi yao
 
Nimesikia ni Mzanzibar, ndugu yake na Makamu wa Rais, Samia Suluhu

Dada hawezi kujibu maswali ya wabunge anayoulizwa papo kwa papo, hadi spika anaona aibu na kuwaruhusu mawaziri wengine wamsaidie

Nilimsikia juzi Jumamosi aisee hata kusoma huyu Dada ni shiida, Ashukuru tuu DR. Mwigulu amempiga sana tafu kwa Vikao vya Bunge vilivyopita. Aisee Naibu Waziri sijui alibahatishaje hiyo nafasi yaani.
 
Tatizo ni anxiety ya public speech, haina uhusiano na 'usomi' wake,ndio maana mbunge Msukuma yeye pamoja na kutokua msomi bado ana confidence ya kuongea ilhali huyu hawezi, nachotaka kusema ishu sio usomi ni confidence/Anxiety.
mambwiga yanashindw kuelewa vitu simple tu.
 
Nimesikia ni Mzanzibar, ndugu yake na Makamu wa Rais, Samia Suluhu

Dada hawezi kujibu maswali ya wabunge anayoulizwa papo kwa papo, hadi spika anaona aibu na kuwaruhusu mawaziri wengine wamsaidie

TUMPE MUDA HUENDA HAJAZOEA KUONGEA MBELE ZA WATU ANAWEZA FANYA VIZURI MBELENI RAIS WETU YUPO MAKINI SIDHANI KAMA HANA SIFA ZA KUWA KWENYE NAFASI HIYO
 
Ni yule Naibu Waziri wa Fedha aliyeshindwa hata kuapa kama yule mwenzake, lakini hakuguswa?

Lolote linawezekana. Awamu hii ishu za kujuana zimetamalaki sana.
Sasa kama ni ndugu wa msaidizi wa kiranja mkuu unafanyaje mkuu!
 
Watu wa humu bwana, niliposoma uzi nikajua ameshindwa kabisa kumbe ana wasiwasi tu

Ngoja awe mzoefu mbona mtamsahau
 
Nimesikia ni Mzanzibar, ndugu yake na Makamu wa Rais, Samia Suluhu

Dada hawezi kujibu maswali ya wabunge anayoulizwa papo kwa papo, hadi spika anaona aibu na kuwaruhusu mawaziri wengine wamsaidie

Ndiyo chanzo cha kuharibu nchi kwa kujuana. Hii ni hatari kuliko cancer
 
Sasa huyu naibu waziri wa fedha aliokotwa wapi na Magufuli, ndiyo shida ya kupeana vyeo kwa kujuana.Kiufupi naibu waziri ni garasa, hata kama ni kubebana basi tafuteni watu angalau wenye uwezo.
 
Back
Top Bottom