Eti huyu dada Unaibu Waziri wa Fedha kapewa kwa kujuana ndio maana hawezi kujibu hata maswali ya Wabunge?

Mkuu Nyumisi , mbunge hatakiwi na hatakaa awe mwanasiasa. Ila kwetu huku kwenye "nchi za tundu la uchafu" ndio tunakubali kuwafanya wabunge kuwa wanasiasa.
Wabunge ni wawakilishi wa wananchi kwenye kufanya maamuzi.
Duh! mwanasiasa ni nani sasa! au ni wale viongozi wa vyama vya siasa...
 

Hon. Mwanaidi Ali Khamis​



Member Type : Special Seats

Constituent : Special Seats

Political Party : CCM

Phone : +2550673465956

P.O Box : P. O. Box 236, Zanzibar

Email Address : m.khamis

Date of Birth : 1972-08-24


Education History :​


School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
Institute of Accountancy in Arusha (Coventry University)Certificate20122013Masters Degree
Institute of Accountancy in ArushaCertificate20082009Postgraduate Diploma
College of Business Education (CBE)Certificate19992002Advanced Diploma
Stanford College in MalyasiaCertificate19971998Diploma
Institute of Public Administration, ZanzibarCertificate19911998Certificate
Karume Technical College Computer Center, ZanzibarCertificate20012002Certificate
Haile Selassie Secondary SchoolCSEE19861988Secondary School
Jangwani Girl Secondary SchoolCSEE19891990Secondary School
Jang'ombe Primary SchoolCPEE19791986Primary School

Employment History :​


Company/InstitutionPositionFromTo
Ministry of FinanceAssistant Stock Verification19951998
Ministry of HealthAssistant Cashier19992010
Ministry of Health (Filariasis & Schistosomiasis Programme)Accountant20052010
Ministry of Health (College of Health Science)Chief Accountant20102016
Ministry of Education (Present to School of Health Sciences - SUZA)Chief Accountant20172017
 
NAONA MAGUFULI AND COMPANY MNAJIVUA NGUO
HUYU DADA ANATIA AIBU HIVI UZITO WA WIZARA YA FEDHA UNAKUTANA NA NAIBU HATA CONFIDENCE YA KUJIELEZA HANA NDIO UCHUMI UTAPANDA LABDA HUO UCHUMI
UTAPANDA ZIGZAG SYTLE
 
Nimeshindwa kumsikiliza mpaka mwisho maana naona aibu Mimi.
Hivi huyu jpm na ccm yake wanatutafuta maneno nchi hii? Mbona huku ni kudharauliana? Tena mtu kama huyu wizara ya fedha? Wizara ambayo ndio engine ya uchumi na maisha yetu?
Wanawapa uwaziri hawa viazi ili waweze kutupiga ipasavyo..ukimweka mjanja hapo atazuia upigaji wao...
 
DK Ashatu mtalaam wa uchumi mzuri, nilihoji humu kwa nini aachwe kwenye baraza la mawaziri? , sasa huyu dada kama kungekuwa na wabunge machachari anaweza akaanguka bungeni akazimia kwa maswali.
 
Nimesikia ni Mzanzibar, ndugu yake na Makamu wa Rais, Samia Suluhu

Dada hawezi kujibu maswali ya wabunge anayoulizwa papo kwa papo, hadi spika anaona aibu na kuwaruhusu mawaziri wengine wamsaidie



Hawa ndiyo viongozi tunaotarajia wawe ana akili za ubunifu, waje na mipango ya kuwasaidia wananchi kutoka hatua duni kwenda hatua bora...

Ni kazi kweli kweli. Na ni ngumu kwelikweli...
 
halafu huyu Mwiguru nimekutana naye muda huu mlimani city nilitaka kumwambia wasimuulize sana maswali yule dada ataanguka siku moja mbele ya bunge
 
Nimesikia ni Mzanzibar, ndugu yake na Makamu wa Rais, Samia Suluhu

Dada hawezi kujibu maswali ya wabunge anayoulizwa papo kwa papo, hadi spika anaona aibu na kuwaruhusu mawaziri wengine wamsaidie


😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Nimesikia ni Mzanzibar, ndugu yake na Makamu wa Rais, Samia Suluhu

Dada hawezi kujibu maswali ya wabunge anayoulizwa papo kwa papo, hadi spika anaona aibu na kuwaruhusu mawaziri wengine wamsaidie


Ni kama yule wa kushindwa kuapa
Labda ni kipapai
 
Back
Top Bottom