Eti huduma ya babu ambilikile loliondo moja ya ilan za ccm 2010/15??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Siasa zina mambo jamani
niko na kada mmoja wa ccm anadai
eti huduma za loliondo ni moja y ilan zake za uchaguzi 2010/2015..haahaa wakati ukweli ni kwamba yule mzee ni kada mkubwa wa chadema namkewe ni ndugu mkubwa wa mbunge wa chadema...ndesa****mpaka akatoa helikopta yeke kupeeeleka wagonjwa wakapate maji ya babu ambilikile

ccm kazi mnayo
 
Wamempanda shetani mgongoni,watakuaje na la maana la kuongea?
 
Siasa zina mambo jamani
niko na kada mmoja wa ccm anadai
eti huduma za loliondo ni moja y ilan zake za uchaguzi 2010/2015..haahaa wakati ukweli ni kwamba yule mzee ni kada mkubwa wa chadema namkewe ni ndugu mkubwa wa mbunge wa chadema...ndesa****mpaka akatoa helikopta yeke kupeeeleka wagonjwa wakapate maji ya babu ambilikile

ccm kazi mnayo
huyo kada anae dai loliondo ni moja ya ahadi zake ni nani? na alisema lini?
isije kuwa some one is bluffing here.
 
CCM watekeleze ilani yao kwa kujenga barabara hadi kwa Babu Loliondo ili watu wasipate shida ya usafiri
 
Siasa zina mambo jamani
niko na kada mmoja wa ccm anadai
eti huduma za loliondo ni moja y ilan zake za uchaguzi 2010/2015..haahaa wakati ukweli ni kwamba yule mzee ni kada mkubwa wa chadema namkewe ni ndugu mkubwa wa mbunge wa chadema...ndesa****mpaka akatoa helikopta yeke kupeeeleka wagonjwa wakapate maji ya babu ambilikile

ccm kazi mnayo

...Ukumbi wa siasa na story za vijiweni.
No wonder jukwaa hili halina msisimko tena.
 
Yatasemwa mengi kuhusu babu,lkn mie naona si vizuri kusema jambo ambalo huna uhakika nalo.ni vizuri kumuomba ,MUNGU akatupa majibu juu ya babu na tiba yake.
 
Back
Top Bottom