Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
NasDaz,
Umetoa mfano mzuri, wewe ulipata shida kidogo na hiyo kazi kwakuwa halikuwa eneo lako la kujidai, hata hivyo sio peke yako hata ukiwa na CPA kazi ya Bank Teller ngumu sana! ndio maana Bank zinaajiri hizo position kila kukicha kwakuwa fresh graduates wanaitumia kama stepping stone baadae wanakimbilia kwenye position nyingine.
Ni kweli elimu ya chuo ni zaidi ya kwenda tu kwenye eneo lako lakini ingekuwa vizuri zaidi kama kila mtu angepata kazi kwenye eneo lake ambapo anakuwa amejifunza vitu vingi.