Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

Mkuu kama hilo gari halina sifa hizi basi kila aliyelinunua ni fala hasa.

1.Haliungui moto hata kama likimwagiwa petrol na kuwashwa
2.Haliwezi kupata pancha
3.Huhitaji service yoyote kwenye injini kwa zaidi ya miaka 50 zaidi ya kuweka mafuta,oil na maji kwenye Carburetor.
4.Haliwezi kupinduka hata likimbie speed kiasi gani.
5.Zaidi ya chuma cha pua hata likigongwa na treni haliwezi hata kubonyea.
6.Siku zote libakie jipya hata baada ya miaka 30 kama vile limetoka kiwandani Leo.
Kama hilo gari lina sifa tajwa hapo basi sh Bil 2 ni halali kabisa,na kama hakuna hizo sifa,wote walionunua hamnazo kabisa,wana akili ndogo Kama CCM.
Tena umesahau na kama halipati mimba wasahau kabisa kwangu
 
Mtoa mada,
Una akili za kimaskini sana.

Hilo gari ni zaid ya ulionavyo, lina vikorokocho vya kisasa zaidi kama Autobrakes, Rimote parking, crash sensors n.k

Pia wabongo wengi tumezoea kununua mikweche (used).

Ukivuta Range ya mwaka 2001 yenye Ac kwa visenti kiduchu , kibongo bongo unajiona mjanja na kusumbua RAIA mtaani.

Unasahau kumbe gari yenyewe ni used zaid ya miaka 17 ilopita kule kwa wenzetu.

Hata IST brand new ya mwaka 2018 ukionyeshwa bei yake, Najua lazima tu utapigwa na butwaa.
 
Mzuqa,

Yani binadamu hapana.

Porshe Carrera GT bei yake ni dola laki saba za kimarekani baada ya kodi kabla ya kodi 500k$ karibia billion 2 madaf. Na kuna masenge yamenunua haya magari. Unajiuliza why? mbona watu wamekosa utu na hofu ya Mungu kuchezea pesa namna hii.
View attachment 937735

Kwanza gari lenyewe linasura mbaya. Viti ni vya wawili tu. Halafu halina hata buti sijui ukienda shopping utaweka wapi vitu. Wazungu wamekuwa watu wa hovyo sana.
View attachment 937736View attachment 937737

Hata kama ni class na kusifiwa huu ni upuzi. Hata renji na v8 haifikii huko.

Yani kagari kadogo kabaya kanazidi hadi thamani ya nyumba? Eti kwa kuwa kametengenezwa na material za thamani. Fikiria nyumba ya million mia tu ilivyo na thamani msingi nondo na takataka zote.


narumuk
Mkuu kama unapenda siti nyingi na buti kubwa unanunua basi
 
Back
Top Bottom