Eti hii ni bahati mbaya au makusudi?

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,199
18,470
306831_543054339041534_1726132848_n.jpg
 
Kuna coca za njano zimetoka special kwa ajili ya kombe la dunia huko kwa akina Roriaeta-Brazil
 
Ni uzembe wa hali juu....wauzaji wa hizo soda wanakutana na vioja hivyo sana tu.....mara ukute soda ina kizibo cha pepsi....sasa huwa nashindwa kuelewa kizibo cha pepsi coca kimeingia vipi.....na kutoka kimetoka vipi...ina maana sehemu zote inamopita soda hawajaona?
 
Ooyooo nahau ni bora ya musa koliko ya firauni na nishawai kuwona soda ina mende ndani yake na haya yote ni masilai ya mshahara wa kima cha mkia wa mbuzi na haupandi ngo na tiyeni kila
 
Back
Top Bottom