Eti hii ni ajira au laana?

mfereji maringo

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
1,037
250
zamani mzazi alipokuwa akimlaani mwanae alisema utaokota makopo(chupa za maji), leo hi watz wengi wameingia ktk aina hii ya ajira, na rais ameitaja kama ni chanzo kipya cha ajira, je watanzania hali yetu ya maisha imekuwa mbaya hadi maisha ya laana yamekuwa ni ya kawaida?
 
you have got that one right...... Nilaana kutoka kwa baadhi ya wakuu wetu wa nchi
 
zamani mzazi alipokuwa akimlaani mwanae alisema utaokota makopo(chupa za maji), leo hi watz wengi wameingia ktk aina hii ya ajira, na rais ameitaja kama ni chanzo kipya cha ajira, je watanzania hali yetu ya maisha imekuwa mbaya hadi maisha ya laana yamekuwa ni ya kawaida?

Ni laana tu.raisi anataka wananchi waamini biashara yoyote ni ajira.katika macroeconomic level hii si kweli,watu wengi wako katika vibiashara hata faida ya 1500 hawafikishi kwa siku,huyu mtu bado yuko kwenye umaskini mbaya sana na si sawa kuziita ajira zinazotambulika kitaifa.am sure zaidi ya 90% ya watz wako chini ya middle class na haya ndio mambo ya kuongelea,biashara itakayomtoa mtu kwenye umaskini hadi middle class.
 
tatizo lenu wabongo ni mabingwa wa kusahau...yaani mnalalama weee na kusahau kuwa nchi hii inatawaliwa na jini anayelindwa na majini...sheikh Yahaya ni shahidi
 
Dawa ni kudai uhuru kutoka kwa wakoloni weusi wa nchi hii. Na itafika siku tutakuwa vichaa bila kuongopa nguvu ya dola, hawa manyang'au wanatunyonya sana hawana hata chembe ya aibu.
 
zamani mzazi alipokuwa akimlaani mwanae alisema utaokota makopo(chupa za maji), leo hi watz wengi wameingia ktk aina hii ya ajira, na rais ameitaja kama ni chanzo kipya cha ajira, je watanzania hali yetu ya maisha imekuwa mbaya hadi maisha ya laana yamekuwa ni ya kawaida?

kama ulijijitokeza au hao wanaookota hayo makopo walijitokeza kupiga kura na wakachagua kiongozi sahii basi hiyo sio laana ila ni bahati mbaya, ila km hawajapiga kura au walipiga kura na kuchagua wale wale vilaza basi huo na mshahara wao.
 
Lakini zisipookotwa na mtu mwenye akili timamu ziokotwe na nani? Bahati fulani hiyo ni ajira. Hizo chupa ni malighafi
 
Back
Top Bottom