Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,604
- 4,259
Kuna kauli nyingine kwa kweli ni za kushangaza hasa pale kiongozi mwenye dhamana ya ulinzi wa amani katika eneo husika anaposema watu kupigwa risasi na kuuawa kwamba ni ajali tu kama ajali ya basi inavyoweza kuua watu kadhaa. Huu ni uwendawazimu kabisa.
https://www.facebook.com/thomas.simon.7712/videos/10207176697311687/
https://www.facebook.com/thomas.simon.7712/videos/10207176697311687/