Eti* hawa wanao cheza picha za x / uchi ni vp jaman?ni ugumu wamaisha au nini?

so ndo ivyo co wana jfanya kushanga 2 hapa kan nini kigeni kusema xaxa badala ya sasa hujaelewa wap kan au ni kusoma kuna kushnda dat y una niuliza maxwali ya co kuwa na mbele wala nyuma eti unasoma wap mara cjui mini mtoto mdogo mara koh jaman jamii huwa hawa ishi ivyo jifunzen mambo mbali mbali kutoka kwenye hi mitandaooni bna co kukalia 2 umbea majungu na ku uliza huyu kaandika x badala ya s mmh
ha2ishi ivyo watz wenzangu deliverd 2 hao walio ni disis pumba za hapo.

Wewe ni chizi na yaonyesha uko under 18. Tambua hili Jamvi c la watoto ni la watuwazima.. Huwezi kuwafundisha upuuzi huo' x' iwe 's' lugha ya wapi hiyo na inatumia kamusi ipi? Heshima kwanza dogo hasa uongeapo na watuwazima..
 
Haya bna wa2 wazma nime waeleweni bna ok c 2mi tena iyo lugha mmh haya wa kuu nimejishusha na kuwaelewa sawa 2takuwa pa1 napapenda sana humu jf na 2takuwa pa1 but mi co mtoto ni na miailiyo zidi 20 so nime wapata kwa somo lenu zurio ok pa1 sana yaishe bac.
 
Hivi umeshaoga....hayahaya vaa nepi ukalale!! Watoto wa siku hizi majnuni taabu tupu!
 
Back
Top Bottom