Eti* hawa wanao cheza picha za x / uchi ni vp jaman?ni ugumu wamaisha au nini?

Justin Dimee

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,146
248
Na wana chukuliaje hilo xwala na vp kwa family zao wana semaje na hata izo jami zao zina waonaje mmh
kwer hakuna kinacho shindikana chn ya jua mmh
yale mambo ni ya sirini but hawa ma internation people zunguzi ndo wamekuja harbu mpango mzma ajajajajajajajajajajaja x.
Duh hata ctamani kuangalia huo uchafu wao.
 
naomba unijibu so simple questions then tutakupa majibu yako happo hapo.
Unasoma wapi na form ngapi. Kama chuo ni chuo gani na kozi gani?
 
naomba unijibu so simple questions then tutakupa majibu yako happo hapo.
Unasoma wapi na form ngapi. Kama chuo ni chuo gani na kozi gani?

Tumuulize hata mwaka alioanza kupata chunusi usoni,nao ataje,ndipo tumsaidie vema..
 
Hebu nitoleni kiwingu hapa kan izo x kwamba hamzjui au ni vp mmh ok let me change my language coz huwa bna nime zoea bna dat y but ok nsha waelewa kumbe humu wote ni ma dingi na mamama coz dis iz just lugha 2 .ya fb.
 
Wazee wa jiji la London wanasema 'The Penis is not trained to erect'.ukikua utapata majibu usiwe na papara!
 
naomba unijibu so simple questions then tutakupa majibu yako happo hapo.
Unasoma wapi na form ngapi. Kama chuo ni chuo gani na kozi gani?

sasa ukijua na soma au lah kan utaweza kubadil lugha yan kwan mmh xwali gani xaxa ilo.
 
Na wana chukuliaje hilo xwala na vp kwa family zao wana semaje na hata izo jami zao zina waonaje mmh
kwer hakuna kinacho shindikana chn ya jua mmh
yale mambo ni ya sirini but hawa ma internation people zunguzi ndo wamekuja harbu mpango mzma ajajajajajajajajajajaja x.
Duh hata ctamani kuangalia huo uchafu wao.

Mkuu kila mtu ana sababu zake kwa nini anaigiza filamu za ngono ila baadhi ya sababu hizo ni ugumu wa maisha, kutaka utajiri wa haraka na wengine ni kwa sababu wanapenda kutiwa tiwa.
 
Mkuu kila mtu ana sababu zake kwa nini anaigiza filamu za ngono ila baadhi ya sababu hizo ni ugumu wa maisha, kutaka utajiri wa haraka na wengine ni kwa sababu wanapenda kutiwa tiwa.

dah bora hata yako mwana umeweza hata kuchangia maada maana hawa wengine mmh cjui wanajiona walimu sana au vp mmh yan wana toka njee ya mada kabi wana niuli maswali ya ajabu ajabu yan mmh ok 2kopa1 mwana. Hapo.
 
Mods kuna haja ya kufuta thread zote ambazo watu wanatumia lugha za kihuni huni...

so ndo ivyo co wana jfanya kushanga 2 hapa kan nini kigeni kusema xaxa badala ya sasa hujaelewa wap kan au ni kusoma kuna kushnda dat y una niuliza maxwali ya co kuwa na mbele wala nyuma eti unasoma wap mara cjui mini mtoto mdogo mara koh jaman jamii huwa hawa ishi ivyo jifunzen mambo mbali mbali kutoka kwenye hi mitandaooni bna co kukalia 2 umbea majungu na ku uliza huyu kaandika x badala ya s mmh
ha2ishi ivyo watz wenzangu deliverd 2 hao walio ni disis pumba za hapo.
 
Hahahahahaha!
Duh...Ulijiwa na wazo gani hata ukaamuwa kutoa hiyo mada? Anyway,mada n muhimu kujadiliwa kwa mtazamo wng
 
Y sasa hawa ijadili wana jadili kuandika kwangu x badala ya s kan hawaja elewa nini xaxa?
 
Back
Top Bottom