Eti hasira zake kamalizia kwny simu

MULLAORIGINAL

Member
Sep 9, 2011
20
11
habari za wadau wa fikra oevu,
Nna kaschana kangu bhana tulianza uhusiano c kitambo sana, sasa jana wakati tukiwa ndanj tunastorisha nikawa nimechukua simu yangu naupdate dp na dm za whatsup, nikawa dp nimemweka mama yangu mzazi wakati naandika dm kwamba nimekumiss sasa dear mama ila nikawa naandika jina la utani tunalomwitaga maza, akaona akavimba na kuchukua simu yangu straight bafuni na kuitumbukiza kwenye ndo ya maji (ilikua ka bongo movie kitu cha blackberry 9800 kinazima ttrrrraaaa).
With that shock sikumwambia chochote nikamwomba tuondoke, i took her back home kwao, kwenye gari sikuweza kumuongelesha zaidi anadai samahani eti ni mapenzi yamezidi kwangu,
Sa naombeni mnisaidie, iviwaschana wa hivi jamani wanafaa kuwa wake kweli????
Kiukweli nimekua mwaminifu si kwake tu hata nafsi yangu naitendea haki always.
 
Xaxa, umeuita kaschana, vischana havifai kuwa wake. Ukishanunua simu ingine umuache, ila make her feel guilty kwanza. This time ununue android eeh, bb ishapitwa na wakati.
 
Ina maana simu yako haijawahi kudumbukizwa kwenye glass ya shayiri? Hupendwi aisee, lol

Kupendwa kwa kuletewa hasara sitaki....
next si atavunja tv akiona unatazama mpira na humpi attention?
tv yenyewe ya mkopo lol si nitaua mtu bure? lol
 
Mwenyewe unasema kaschana inaonekana bado kanakua, kakimaliza kukua kataacha. Kwa sasa wewe samehe tu, vuta mkwanja kanunue BB nyingine.
 
Mmmh hii bongo movie aiseee ina maana hayo maji alikuwa ameyaanda au?
Heheh mi hayo mambo hata sitaki
 
Niutoto akikua atawacha,ivi mkubwa mwenzio hukumuona mpaka unachukua vischana? stahili yakukute..
 
No bwana kuna raha yake kuonewa wivu msamehe na mueleweshe tu.ILA NAE ANA HASIRA ZA KIZUNGU SANA.
 
..ana hadira za kitamthilia huyo.....

Halafu ameanza mapemaaaaaaaaaa visa tena dhidi ya mama yako(anywai analijua hilo jina?, ila hata kama halijui hakupaswa kutia simu maji, au anadhani una mti unaota dollar?)

hakufai.......
 
Ooohh may be i was wrong kusema kaschana, in fact ameniudhi mpaka nikakaita ivyo, she is a graduate na she is 23 by age, she is feeling guilty right now coz hata kununua inginehawezi, so na me najitia ukabwela na ndo njia ya kumpiga chini coz hamna mawasiliano akitaka awe akitoka kazini anakuja kushinda getini,
Asanteni kwa ushauri, tangu jana kajaza TL ya twitter na izo sorry, c hamna njia ingine ya mawasiliano??? Na humu hawezi kuja, lol'est
 
he he he he, ni pale Tandale mnapoact mambo ya Natalia kule Manhattan, UK (sijakosea)

bb ya mkopo wa saccos kwenye ndoo?
 
Aisee huo mwandiko wako!
Pole sana akikua ataacha kufanya hivyo!
 
Ukichukua mtoto jiandae kulea kaka , ni pamoja na kuvumilia hayo ya wivu wa bila kureason mkuze mkuze akikua muweke ndani fasta wasije wapenda mtelezo wakamuwahi we ukaishia kukuza tu
 
kwikwikwikwikwi dunia hii, kwa hiyo sahizi no BBM aise ww nae yamekukuta,pole sana.
 
habari za wadau wa fikra oevu,
Nna kaschana kangu bhana tulianza uhusiano c kitambo sana, sasa jana wakati tukiwa ndanj tunastorisha nikawa nimechukua simu yangu naupdate dp na dm za whatsup, nikawa dp nimemweka mama yangu mzazi wakati naandika dm kwamba nimekumiss sasa dear mama ila nikawa naandika jina la utani tunalomwitaga maza, akaona akavimba na kuchukua simu yangu straight bafuni na kuitumbukiza kwenye ndo ya maji (ilikua ka bongo movie kitu cha blackberry 9800 kinazima ttrrrraaaa).
With that shock sikumwambia chochote nikamwomba tuondoke, i took her back home kwao, kwenye gari sikuweza kumuongelesha zaidi anadai samahani eti ni mapenzi yamezidi kwangu,
Sa naombeni mnisaidie, iviwaschana wa hivi jamani wanafaa kuwa wake kweli????
Kiukweli nimekua mwaminifu si kwake tu hata nafsi yangu naitendea haki always.

Wewe sema kuwa ulifumaniwa ukimwandikia kimada wako mwingine. HIvi kwa akili gani mama mtu aitwe jina la utani na akubali ukizingatia majina ya utani mara nyingi si mazuri
 
Back
Top Bottom