Eti Edward Lowassa ni kama Jacob Zuma, upuuzi mtupu!

Kama wanaomsafisha Lowasa wamefika mbali hivyo kwa kumfananisha na Zuma wamevuka mpaka tutegemee siku wajekutuambia ni nyerere wa pili

tatizo la wengi mnao msema vibaya Lowassa ni chuki na kusikiliza majungu na fitina za mitaani,watu wote tumezaliwa na mapungufu,hakuna malaika mkuu!
 
Acha kutokwa na povu bwa mdogo! Hivi ndani ya serikali ya JK nani aliemsafi wa kumnyooshea kidole mwenzie nauliza nani?
Rejea sakata la Jairo ambalo ndo linaelekea kuzima taratibu ripoti imetoa mapendekezo, hao wawakilishi wetu nao wamesema mpaka makoo yamekauka! Kwa sababu nchi hii inaendeshwa kishkaji kizungumkuti cha sakata la Jairo ilikuwa ''funika kombe mwanaharamu apite'' Nani mwenye ubavu wa kumfikisha Fisadi lowasa mahakamani..
Kumbukumbu zangu zinanionesha kuwa Jacob Zuma alikuwa na scandal ambazo uzito wake kuzilinganisha na za EL ni sawa umbali kati ya mbigu na dunia! Kashfa nnayoikumbuka ya Zuma ni ile ya kufanya mapenzi na mwathirika, mwenye kukumbuka anaweza fafanua zaidi..
Unawezaje kumlinganisha JZ na EL katika mizani ipi labda, ole wenu mnaotokwa povu kwa kufanya lolote lililo ndani ya uwezo wenu kumsafisha Lowasa kumbukeni kuna Mungu! Mi nashangaa hivi mtu kama mimi utanipa pesa gani ili nitetee fisadi kama Lowasa na mafisadi wengine?
Lowasa hasafishiki na ilikwisha semwa kuwa Mungu anaweza msaheme EL lakini watanzania msamaha wetu kwake ni kumfikisha kwa court ajibu tuhuma zote zinazomkabili., kisha aachane kbs na biashara ya uraisi kwani ikulu ni mahali patakatifu na wote waingiao ikulu wanapaswa kuwa safi.

Huo pia ni uvivu wa kufikiri nimegundua hujui unachokisema Zuma alishtakiwa kwa Rushwa ya kuuziana silaha kumbe hujui kitu,suala la mapenzi halipo it was a cooked scando,Tunamsafisha Lowasa kachafuka na lipi? wewe mwenyewe sio msafi au unabisha? acheni majungu,JK CHAPA KAZI,TUNAKUKUBALI,lOWASSA IS A LEADER.Pia aliyekwambia ikulu ni patakatifu ni muongo,hiyo ni kazi ya mikono ya mwanadamu,Patakatifu ni mbinguni aketipo Mungu Mkuu,kwanza wanadamu wote mmechafuka na wewe ukiwamo na mmepungukiwa na utukufu wa Mungu,wewe ni nani hata utoe tathmini ya uchafu wa mtu? wengi mmelewa mvinyo wa maneno ya magazeti na umbea wa mitaani eti Lowasa mwizi,toa ushahidi ameiba hiki na kile,usitudanganye kuwa tutampeleka mahakamani hiyo ni kujilisha upepo na kujifurahisha nafsi,The country is riled by Rule of Law,huwezi kumshtaki mtu kwa hisia za kisiasa,wengi mnajifanya wanamagaeuzi lakini ni weupe kupita maelezo,mmejaa maneno mepesi ya jumla jumla,leo nikikuuliza toa ushahidi wa Ufisadi wa Lowasa utasema oooh,hata nyerere alisema,Nyerere also was not God and will never be,we are all weak na MTU akipata kibbali cha Mungu hakuna wa kumzuia hata mualike majeshi ya dunia nzima na maandamano tusaidiwe na wachine na idadi yao no Man can stop what God has established and confirmed,ni upuuzi na ushetani unaposema kuwa hata MUNGU AKIMSAMEHE SISI LAZIMA TUMPELEKE MAHAKAMANI,WEWE NA NANI? JARIBU TUONE,KAMA KWELI ACHA KUJIPA MATUMAINI KWA HEWA,
 
tatizo la wengi mnao msema vibaya Lowassa ni chuki na kusikiliza majungu na fitina za mitaani,watu wote tumezaliwa na mapungufu,hakuna malaika mkuu!

Unataka kutuambia tuliyosikia kutoka kamati teule bungeni ni maneno ya mitaani? Hapa sasa naona mnapitiliza
 
fisadi wa richmond tumeambiwa ni jk na hajakanusha,labda lowassa ni fisadi wa epa according to dr slaa.

Lowasa hajafanikiwa kujinasua na Richmond, utetezi wake uko kimkandamkanda, aeleze alivyotuingiza kwenye huo mkataba, na kama kulikuwa na maelekezo ya JK atuonyeshe mawasiliano yao ya kiserikali.

Ni upuuzi kwa mtu akiyeshika nafasi nyeti ya PM leo hii kuja na utetezi wa mawasiliano ya simu, serikali haifanyika kazi kwa maelekezo ya simu, kuna utaratibu wake, ndio maana yeye watendaji walimhitaji angalau awapatie ujumbe wa kimaandishi kwa maangizo alokuwa akiyatoa. Wtz hebu tuache kuendekeza njaa kiasi cha kupoteza muda kumsafisha mtu mwenye kasfa zilizo wazi.
 
Mwakyembe alikuja na ushahidi gani kuonyesha ufisadi wa Lowassa? Lowassa alilipwa kiasi gani na wamiliki wa Richmond, naomba majibu please.
 
kama ni sula la mke wa kaizari hawezi tuhumiwa basi hakuna msafi kwa sababu hata Dk wa ukweli Slaa alituhumiwa kutembea na mke wa mtu!
 
Wanaomfagilia EL wanafikiri kimasaburi saburi tu. Watu wazima mnategemea kupewa pesa na mafisadi ili kuwatetea .namshindwe kabisa EL HAWEZI KUPATA URAIS MIMI NIKIWA HAI EBOOO!
 
Mwakyembe alikuja na ushahidi gani kuonyesha ufisadi wa Lowassa? Lowassa alilipwa kiasi gani na wamiliki wa Richmond, naomba majibu please.

Kasome ripoti, kila kitu kimo mule, ndio maana "alipima akajikuta na hatia akajiuzulu!!!!"
 
Huo pia ni uvivu wa kufikiri nimegundua hujui unachokisema Zuma alishtakiwa kwa Rushwa ya kuuziana silaha kumbe hujui kitu,suala la mapenzi halipo it was a cooked scando,Tunamsafisha Lowasa kachafuka na lipi? wewe mwenyewe sio msafi au unabisha? acheni majungu,JK CHAPA KAZI,TUNAKUKUBALI,lOWASSA IS A LEADER.Pia aliyekwambia ikulu ni patakatifu ni muongo,hiyo ni kazi ya mikono ya mwanadamu,Patakatifu ni mbinguni aketipo Mungu Mkuu,kwanza wanadamu wote mmechafuka na wewe ukiwamo na mmepungukiwa na utukufu wa Mungu,wewe ni nani hata utoe tathmini ya uchafu wa mtu? wengi mmelewa mvinyo wa maneno ya magazeti na umbea wa mitaani eti Lowasa mwizi,toa ushahidi ameiba hiki na kile,usitudanganye kuwa tutampeleka mahakamani hiyo ni kujilisha upepo na kujifurahisha nafsi,The country is riled by Rule of Law,huwezi kumshtaki mtu kwa hisia za kisiasa,wengi mnajifanya wanamagaeuzi lakini ni weupe kupita maelezo,mmejaa maneno mepesi ya jumla jumla,leo nikikuuliza toa ushahidi wa Ufisadi wa Lowasa utasema oooh,hata nyerere alisema,Nyerere also was not God and will never be,we are all weak na MTU akipata kibbali cha Mungu hakuna wa kumzuia hata mualike majeshi ya dunia nzima na maandamano tusaidiwe na wachine na idadi yao no Man can stop what God has established and confirmed,ni upuuzi na ushetani unaposema kuwa hata MUNGU AKIMSAMEHE SISI LAZIMA TUMPELEKE MAHAKAMANI,WEWE NA NANI? JARIBU TUONE,KAMA KWELI ACHA KUJIPA MATUMAINI KWA HEWA,

Bwan mdogo unachekesha saaaana! The bottom line kwamba EL mnaemuangaikia kila uchao kumeleka hadi kwa TB Joshua eti kupata kupata kibali will never b a president of TZ, NEVER on earth.
Hivi unapodai mtu akipata kibali cha Mungu hakuna wa kumzuia unamaanisha nn, kwa taarifa yako inabidi ukubalike na watu walioumbwa na Mungu ndipo hicho kibali ukipate, Je EL anakubalika? Labda monduli na nyie wendawzimu wachache mnaokaa mkitafakali kila aina ya tungo za kumpamba fisadi lenu lowasa.!
Tanzania nnayoifaham mm haiongozwi kwa hicho ulichoita ''rule of law'' inaongozwa na wapindisha sheria wakiongozwa na kilaza wenu JK.
 
Na hilo chama lenu la MAGAMBA lenye mparaganyiko tunawasubiri kwa hamu mumpitishe huyo Fisadi namba moja muone kitakachotokea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom