hiram
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 266
- 393
Eti DK Leakey alikuwa akiyapiga sana makampuni ya betting kwa hiyo kakatazwa kubet na wamemuajiri na ndiye anayetengeneza fixtures.
Swali:
1. mashine nyingi za kubet mtu haandiki jina je watamdhibiti vipi?
2. Je akimjazia mtu mwingine mkeka je?
3. Ukiacha vijiweni Je Hii habari iliandikwa na chombo gani cha habari?
Swali:
1. mashine nyingi za kubet mtu haandiki jina je watamdhibiti vipi?
2. Je akimjazia mtu mwingine mkeka je?
3. Ukiacha vijiweni Je Hii habari iliandikwa na chombo gani cha habari?