Tetesi: Eti, Diamond ana-date na Poshy Queen, ingawa mahusiano yao hayapo official huku mtandaoni

Machangudoa hawakatai ila mwanamke anaejua thamani yake sio rahisi kurubuniwa na pesa
Ah..ndugu yangu hebu twende taratibu kidogo hv kweli Kwa hali hii jua linavyowaka hv kuna mwanamke kweli wa kumkataa kijana km dewji,samatta,diamond,kiba na wengineo wenye mafanikio katika nyanja tofauti tofauti? Mwanamke hupenda mwanaume mwenye mafanikio hyo tangu enzi na enzi kabla haijawa kipimo ilikuwa mwanaume mwenye mashamba na mifugo ya kutosha mimi bado sijafanikiwa ila huu ukweli mchungu naujua mpenzi wangu mamuamini lakini nina uhakika kuna baadhi ya angel akibananishwa hatoki ng'o acha nitafute hela tu sio lazma nifanane nao huwezi tafuta hela ukawazidi wote ila japo ya kujikimu na kumtunza mtoto mzuri isiwe pangu pakavu kabisa lawama hiyo!
 
Ingekua hivo mabikionea wasingesalitiwa

Pesa hata mimi naweza kuzitafuta broo

Hao mabilionea wanaosalitiwa wanakuwa na shida sehem. Unajua hata mdada akiwa hana pesa tamaa kwa pesa inakuwa kubwa kupitiliza. Lakini akimpata mwny pesa hutulia. Gafla anaanza kuona maisha ni yale yale tu. So km ww unakigezo cha pesa pekee alafu mengine zirooo.. utaachwa na pesa zako.
 
Duh! Ila kweli Diamond ni simba, habari za chini ya carpet inasadikika kuwa Diamond alimla Poshy Queen. Aise! Kama hizi habari ni kweli basi Diamond kanishinda tabia.

Huyu Diamond, yaani wadada wazuri wa mjini wote wake, dooh!
Diamond hawezi kutembea na demu cheap au wa hadhi ya chini kama Poshy Queen.
 
Poshy queen tumekula wengi,we kama una hela sema upate connection wale ni malaya wa town,usiogope sana...fanya hivi andaa million 10..hiyo ni kwa ajili ya ticket ya ndege,hotel,na dau lake
Tobaaaah yan mil 10 kisa penzi tena la mda mfupi, then kila mtu anashka njia yakee? Uwiiiiiiiiih Dunia haiko fair, sasa si atakua tajiri san kwa maan vichwa viwili tyuuuh anatoka kimaisha, anaacha kudanga ana stiff kweny life lake. Hiv anakwama wapiiih? Lol
 
Tobaaaah yan mil 10 kisa penzi tena la mda mfupi, then kila mtu anashka njia yakee? Uwiiiiiiiiih Dunia haiko fair, sasa si atakua tajiri san kwa maan vichwa viwili tyuuuh anatoka kimaisha, anaacha kudanga ana stiff kweny life lake. Hiv anakwama wapiiih? Lol
Hela za aina hiyo hazifanyi maendeleo,ni mademu wachache tu ndo wanaoweza kufanya maendeleo kwa hela za kudanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom